Marehemu Ayubu Kiguru: Shabiki mkubwa wa Sunderland football club miaka ya 1960

Marehemu Ayubu Kiguru: Shabiki mkubwa wa Sunderland football club miaka ya 1960

Saigon ilikuwa club inayoshughulika na nini?
IPO mtaa gani?
 
Mzee Mohammed Said hakika umetupa hostoria mujarab ya hii timu yetu pendwa ya Simba, asante sana
 
Si vibaya ukawasiliana na Mbwiga Mwiguke wa Clouds FM ili awe anatupa baadhi ya michomo kama hii au ukiweza wewe mwenyewe walau mara moja kwa wiki tupe kumbukumbu ya matukio yaliyokuwa yakitokea zamani hizo
 
Kwa nini kilambo walimuita baba watoto? pia nashukuru sana kwa historia ilojaa kila aina ya mapenzi ucheshi na uelewa wa wazee wetu hawa
Guasa,
Hili jina la ''Baba Watoto,'' hata mimi nikilisikia lakini sijalitafiti.
Bahati mbaya hili swali limekuja leo.

Jumapili iliyopita nilikuwa na Captain Malik kwa kipindi kirefu.

mEOhxVC2Q9uDHfYDI9LEDby5Lr9xRmniP6z3Y2hDOTDI8zf1REeJb1NoIWeTRCSbHOEeEncPKx3G-OqglU46ooz0BtyS2KSJOC0nZFthuUNKolPTMRnorID4HQm5rQ0jkG5kDYJGDJI-mw2nIxVAbX8bflgBbd4LpRhZkLg6tV_HmZjHekddgMvPOCJknM233HC6Zi749dxNkMoaTBIDks1mjl_3L3OBch_WLL_sPQN7xu97xQyhx7G61nA_de6Rw7dVT2vUa04KdgrxrTD3-xwZS60pId38VSKeXl2A0BNTq0A-3_NKZxaxjuK1qWxYP3l0g_VkzQTFhhtupjA123etbrOw2TeOAktSb_2YxKJhi4n05kP20jTKl_2qIvLQYrJblaJjCDo9O2PkzzIBMWUsj36P229caAGB9BF66G74Gkm8FHn-1CXQU0vga6S5Ds-pZUd-_edHjmP2wKJOqoYJAtp6LA6_ve4o5lkIe-qt4NQYZZJoAG6OVxWoMJTx93VNLuWckhUz5W19uNizqdu0ehC6LxAf5WaVR6K_wXWYGiZ7AVoTpbzBSPsFq0scTtkYzWkEjiWz96RAu0uVFCnnhz8PUU0i=w624-h657-no

Wakwanza kulia ni Captain Malik

Captain Malik alikuwa Captain wa Yanga nadhani katika miaka
ya awali ya 1960 na ndiye aliyempokea Kilambo Yanga akitokea
Bagamoyo na kumtia moyo kuwa anaweza kupata nafasi kikosi cha
kwanza.

Juzi alinihadithia mkasa uliotokea Ilala Stadium.

Yanga walikuwa na mechi na wachezaji wote walikuwa weshanigia
uwanjani lakini Kilambo alikuwa kachelewa.

Hakuna aliyekuwa anamjua Kilambo wakati ule hivyo akazuiwa lango
kuu ikabidi Captain Malik aende akampitishe mlangoni.

Sifa moja kubwa ya Captain Malik ni kuwa yeye ni Encyclopedia ya
historia ya mpira Tanzania.
 
Waandishi wetu vijana wanaitumia hii encyclopedia?
 
Shukran kwa majibu mazuri mzee wangu.
 
pengine wingi wa mchanganyiko wa wanachama wenye imani tofauti,ikaonekana ni busara either kufutilia mbali ama kuwakumbuka na kuwaenzi kwa namna nyingine.
Kwani dini gani haiombei marehemu mkuu !!!?? Timu ikiita wanachama na wapenzi uwanja wa wazi kama jangwani mwembeyanga Tanganyika packers na wakaalika watu wa dini mbali mbali wakaowaombea marehemu!!!??? Ama unataka kusema zamani wapenda Mpira wote walikuwa WAISLAMU TU AU !!!??? (au walikuwa wakristu tu kama sio basi walifanyaje visomo ishindikane sasa
 
Kwani dini gani haiombei marehemu mkuu !!!??
Pengine hujanisoma vizuri au hukutaka tu kunielewa....
Timu ikiita wanachama na wapenzi uwanja wa wazi kama jangwani mwembeyanga Tanganyika packers na wakaalika watu wa dini mbali mbali wakaowaombea marehemu!!!???
nukuu yangu hapo chini hukuielewa..??
pengine wingi wa mchanganyiko wa wanachama wenye imani tofauti,ikaonekana ni busara either kufutilia mbali ama kuwakumbuka na kuwaenzi kwa namna nyingine.

Ama unataka kusema zamani wapenda Mpira wote walikuwa WAISLAMU TU AU !!!??? (au walikuwa wakristu tu kama sio basi walifanyaje visomo ishindikane sasa
Hizo ni hisia zako tu,hakuna sehemu nimesema wote,Japo ni wazi Majority ya wapenzi/Wanachama walikuwa ni waislamu ndio maana kukawa na Utaratibu wa ''Khitma''.
Tusipende kuongozwa na mihemko ya kidini bila kuukubali uhalisia..Nina uhakika kama utaratibu tangu awali ungekuwa wafu kuenziwa kwa Mapadri na Mashemasi kumwagia makaburi maji ya baraka ungekuja na mtazamo tofauti..Muda umebadilika,kuna namna nyingi ya kukumbukwa bila kufanya kisomo.
 
Si vibaya ukawasiliana na Mbwiga Mwiguke wa Clouds FM ili awe anatupa baadhi ya michomo kama hii au ukiweza wewe mwenyewe walau mara moja kwa wiki tupe kumbukumbu ya matukio yaliyokuwa yakitokea zamani hizo
Chamack,
Ikiwa Clouds wanataka khasa wasikie maajabu na kipindi kinoge
wamtafute Captain Malik.

Huyu mtu ana ''photographic memory,'' anaweza kukutajia hadi
list ya wachezaji wa Sunderland na Yanga na nani aliumia akatoka
nani kaingia magoli yaliyofungwa na wafungaji wake nk. nk.

Au mtu mwingine ni Juma Mnonji yeye ni shabiki mkubwa wa Simba.
Hawa mimi nikikutananao huwa napiga goti kusoma kwao.

Hawa mimi wamenishinda kwa kuwa nyakati zile hawa walingiliana na
club moja kwa moja.
 
Saigon ilikuwa club inayoshughulika na nini?
IPO mtaa gani?
Kitulo,
Zamani Dar es Salaam mitaani kulikuwa na vilabu vingi sana vya mpira.
Hizi club zilikuwa za watoto wadogo shule ya msingi hadi sekondari kiasi.

Huwezi amini takriban zote zilikuwa na viwanja vya mazoezi Jangwani.
Vilabu hivi vikifanya mashindano ambayo yakisisimua mji.

Kulikuwa na African Temeke na Goodhope Temeke hawa ni kama Yanga
na Sunderland.

Wakicheza Temeke yote inasimama na vijana hawa walikuwa wakipata
makamo wanakwenda Sunderland au Yanga.

Buguruni kulikuwa na Roverfire club ya wahuni.
Hii ndiyo sifa yao.

Karikaoo kulikuwa na Brazil kilabu nyingine ya wahuni.
Hii ndiyo sifa yao.

Club hizi hazimalizi mechi kwa salama kwani walikuwa washari sana.
Lakini walikuwa na soka la kuvutia ila tatizo ni hilo, wagomvi.

Kulikuwa na club za waungwana vijana wastaarabu kama Young Boys,
LIverpool, Young Kenya, Doncaster, New Port, Fulham nk.

Hii Fulham ilikuwa club ya mtaani kwangu Kipata.
Mimi sikuweza kucheza club hii kwa sababu ya umri wangu wakiioa ati
kiduchu.

Nakumbuka siku moja ilikuwa 1965 katika uwanja wa Shule ya Nanak
hii ilikuwa shule ya Singa Singa nimekwenda ili nami nifanye mazoezi
Adam Kingui akaifukuza nakumbuka maneo yake vizuri hadi sasa,
''Huyu ataweza wapi kucheza...''

Kimo changu kilimtia wasiwasi.
Naweka hapa chini picha yake na jamaa wengine ambao wote walikuwa
wachezaji wazuri:

IONV_sPKonCfRX-lANQuzqPqJ5UwzBUSAv3InbgWFSIE-oSofc7zMPwWvZRq_H39HoIbbsdh8XEc5OemeuR0i6X6vsFvJMkWOkSupGyjQc-wGoRWi5pwXs0qy2gRAznbUK_GjL4ElWgU0XlCLKIWZST9b0fpHeRcMFziqORlBRsFqeOnmIYvGibmI0_NYtG7NUzVebDfWlFqtocGmpWFsSqG0Q1W-p5TI5orIGwjy96f5uW1vOJuLJrV52b4GjnmeQVJfudctBJc_wtMIOcdRrq8hX6uUJ4FjLsrRgqTroRVFnSdFxOrK0-gl_ZTpbugafgEElErjzYelKfAhsjgufOJnx3J4lAqcIq24EHVtdwiQ5PE31LrmQVdTM-zPpxT-JYgOo-rgXnvAdxAwg1aO0GHNxa5ZYVlDDiwXO8wnFQxD8u50AQKz4RXzW7kUq49fd6rwX--jbCFbz_ScZ7S5XxMN_cjmLO65NHt-yZEAc4-_VmJPfDFuZfakvyysBUz_reOZCcf6PgiYTpC15yPmy-521KR-nUcVz1eFW66fbqMYHbLVUoFgtDYZVL58n-c151g5Jj2NsesxFRYDLaooe75zUxUjksX=w876-h657-no

Kulia Adam Kingui, Abdallah Mgambo (Cosmo, Taifa Cup, East African Community Team), Kleist Sykes yeye
alisoma Carlton University, Canada kwa scholarship ya mpira)

Katika hizi kulikuwa na club moja ya kipekee kabisa - Cuba Rovers.

Cuba Rovers wao walikuwa ''Wazungu,'' ndani ya mechi wanazugumza
Kiingereza, ''On him.'' ''Pass the ball,'' ''Cool down.'' etc. etc.

Jezi zao zilikuwa punda milia.

Si haya tu wakipenda muziki wa The Beatles, Helen Shapiro, Cliff
Richard
na Sal Davis.

64y34ynCIqzh5qSjdTk0Nvpaz-RNwdolMpxrSZu_raePCmjvRk8FFMrrvjsVugf-Gh21d-CRwmf5iaQncGbOJen7QoY3Wi9myftNgV_UAp8xmc-qg3FwaE7YopYX61fJG5qV1Qw4515UgFLL99CsptqlgMOWjj4vYqTaoex5w4Ez8kq_7sK6grwIioz0C-iTaAAJh2ChsUB_CUyfU_oFKdJ5CsFh2wS2DEq1M3BT-cp1b7KREeeOO_FmmiVVJLDoyzHv-neqVEdzYpyDLtNsfgk5yl8UsHpK0DL4rdqM-7DWxS8TqU4Vn6ERmJcBWvkvTyEDzER869C8iOJ0MNvLIMikSBdgKpf7NY69Gl7wb5wmi28HBBvlv0IGTAwAMBeQBiv2opKtDcmHvfHZ_H9mnRSr7rWDdhGHb--mWwZL4N2kTdbhu6kEt2Nd3-6tGG3N6AMMkm51pA5fQ_20QGksxEApieSaZmzsGNlaSE247c7b0f-RxGs3oWu67LMtchROGeX3r-8dihwjJyX72bGw6H1vUuYELMcla9HDUm11sCtJUIUxigl7ojcWK3Eg_gGKtbUtKf2j-wtImxp1Uv9eEo_oii7G4GY=w373-h657-no

Sal Davis akifanya onyesho Ujerumani 1960s

4cYcTSGv2Lp2Ne48DaBCjlN7_fwaJWS1YkcMP24_EyAmkMjPrGHfCP0WKdgzhFqL0us8aFpXmtDL7qP_xALT9gc2_6sw7MsPRwoMN6ZocdQ-rX_Mp9wVWFKCSNqXCRNaYWoEeztjq0lYkz2ucaYwTCscw1X4a6xGTZCuOs-8_zj0u92LtA3Ml0_lkR0Rf_-HR9aPSpTmMdxO8cWYOqde7EzP7sIp1i90HQ3ufQC6FbBp4RKLsvFMRrwfPq738jZvLhUnNE_CpN03QnotSOOVxbXYG6vHatgkH_95bUSDZJQlOMwi9RN7kBOXd6JZQGAYPg1ZZdQVl3B53MQHGGFsxazPLTaL7DJhmsooq-qm_Sb8dZFAAZMVhP2ww1Ha35Grjdb48j2ygU6N4WbrLlKmF9CE4D9BpFL5sR8YV-TLuW90c0szJYOvnPdfJ7rICWRdrG5bPT7djYAwY0jXDh6AB1PvNtggqKxQ_nJjuxN_LKfcj5El1YQPmG3uQjkLC1rEpUCpU3QFx3M-OuFbBwvMOpN9jojRg6KZe-ncKxxX015RfUjktvxwWnxiO9kxXpH-g3PdENYlB8bjZAOv6uJzbbsK6yIvMXE=w619-h657-no

Mwandishi na Sal Davis Chef Pride Lumumba Street, Dar esSalaam 2006

Club yao ilikuwa Mtaa wa Mkunguni.

Hawa baadhi yao walikuwa watoto wa ''upper class,'' ya Dar es Salaam
ya wakati ule.

Nimeleta mkadama huu mrefu ili kumpa msomaji picha ya Dar es Salaam
ambayo mimi nimekulia.

Saigon ilikuja baada ya kutokea mgawinyiko kweye club ya Everton. ipo
Haikupita muda Everton ikafa.

Sasa Saigon ipo na baadhi ya wanachama waasisi wa club ile miaka ya
1960 wakiwa watoto wa umri wa shule ya msingi bado wapo na sasa
imekuwa barza maarufu ya mazugumzo.

20140129_145735.jpg

Saigon Club Mtaa wa Sikukuu 1970s kushoto ni marehemu Ahmed Abdallah, Mwandishi na Boi Risasi.
 
m0AkTF7F_x7v3uUz2l23EpBUg-NuCixyFrth0Tb9uYA0crQq3KNKaXelEjFoRNlxHFUONs3932iil-jrro7ThdOFtCK4OJbIxeXITF01HigMjTKPcqpoNxAKuN0l192NamsWUTlv296Ip3oMJIexF0KtwXqD13xbZJPRayjMmnY4taN7X1TJ1DlLZiA5mzLXazFBLJAFseuk1P146pLPgvutcKSIT52ouzgr1BRO8FoAiEXBvuMUsSsojbL1zUNC0CZ7EtVwopylKgWKd3uPNGlk_zmL7Kt7N-2ZfZ37ltzp3OkmehLJGSUUBDC9bMcUVXAzaEf_Rkw-y_8lvWuaCeiQ7O8Igu9JksHFZ2RI6dHYce9X4yWhVwsdODcaOZTwo4wiSeCS5jgdbtppZtWMXn7TOyTQQ1VhZcRFkoPrFHXPFsuEGpBYONvF5kk4WVJsi3wYgcb8sTsv2608j8TLTonSeZSfD32Fehp36W0amrSqgS80S2BUncyiMsC379ii_fNZVYGfswq0h8bG5P1CV-62yKv9xQGueOrOuwR4Ezl_dhY-KLBKMNPSxeFR5B2XzcieroR0MEAm5G4eV-_4eT_iKhj-aXF6=w876-h657-no

Waliosimama wa tatu kulia ni Athmani Kilambo, wa tano Abdulrahman Lukongo
timu ya East African Cargo Handling Services

Ahasante Mohamed kwa kutukumbusha mambo ya zamani. Katika picha hiyo waliosimama nyuma wa kwanza kulia ni marehemu Maulid Dilunga; Akifuatiwa na Hassan Gobos; wa nne ni Kitwana Manara. Waliochuchumaa kulia kabisa ni CHUMA na kushoto kabisa ni MSOMALI!!!
 
Guasa...
Mnaponiliza maswali ndiyo nami kiubongo changu kinashtuka.
Nyie ni msaada mkubwa kwangu.
Pia kulikuwa na hadithi ya mchezaji mmoja alitoka unguja na kwenda kuomba kuchezea yanga sasa akakutana na wazee fulani wapenzi au wanachama maarufu wa Yanga.
Walipomtiza muonekano wake mmoja akajiridhisha kuwa huyo sio mchezaji basi akamkokota mpaka karibu na leo kilipo kituo cha mafuta cha big born na kumuonyesha jengo la simba na kumwambia kama unataka kucheza mpira nenda pale mchezaji huyo alikua kufahamika kama Haji lesso je unacho kisa hicho?
 
Kisa hiki sikijui lakini Haji Lesso nikimfahamu hakutokea Zanzibar.
Lesso alikuwa striker hatari sana na akiutumia urefu wake vizuri sana.

Huyo wa tatu kulia ndiye Haji Lesso nadhai kwao ni Kondoa au Singida.

6Gdrm2VchKJ1uLXl3psqWm2p0KYv9SroHy-S7mzLDVIsz-C3u5IYsOR4mNFnbvJyXz9XWQK9Mkz3rBE9w_OkZK5leGYck7jGYwoGBCvis7g8lZkjlKw4GHmwMcxrmNnHZtqOxdE5c-hso8LMQINH96LDBWVGVcv6PfLdYOilwBvShpRwTCUKzK_QSwxa8BgK9CDT3stzMSx_SlLKMAE4Eu7T81HQ0WHL7HHkA6zcVTN87ZDj2Ehx4oQV5asFEk4HNwFQmb1XbQ9owaF4kYKQvimxmOnWByyxbmFdWpcBasGf0H3ijZckwEi0b3Quaxo2YIpnhLr6AFOIet6CCgMceIFCvXA5xzxqmtxlrbdJeI3WHaJ8Wl8msN4jhkdRU319rV5zxxk71K7w5R9-Vu2DqC2NDXKqaoxDbIO4KGeiYQ81nZ3avQUjOVzM67Vk4720rsbYUio0Ze7-LH9WOtEwlJ1uvbbjSSQww8cNgGowz8DBRv75a8u1LynG3IZGZjXktHEBK_e3FSAGb6_U-6OrgzjMKuk12e_1CpfM4U4g90rxg47ubzIQ75YNO1HMJ1ie6OC_dFIWRZ35PX70bf2Re4doW7toONs=w986-h657-no
 
Back
Top Bottom