Marehemu Grace Mapunda ni nani? Mbona Msiba wake umekuwa mkubwa sana

Labda wewe peke yako ndio ulikuwa haumfahamu.
 
Vipepeo wakifa wajuzi wa mambo hujua walikuwa ni akina nani hasa. Unakuta pastari au sheikh kafa, huo msiba wake ni balaa full coverage watu wazito na magari yao utawaona msibani ndio inafikirisha sana marehemu alikuwa anafanya kazi gani in and out!
 
Vyote navijua mzee ukubwa au udogo sio ishu hatuwez kuwa sawa kila kitu lakin jua kwa upande wa sanaa ya burudan ilipoanza niliishudia mwanzon hakuna kitu utanidanganya boka na sumbi walikaa mda mfupi lakin kaz zao za sanaa zilikua kubwa kuliko dada g
 
Hapana sio kweli labda kama alilia anapewa character ndogp ndogp level ya mhogo mchungu bi mwenda hakufika uko ila alikuepo kuepo kwenye usanii kama average artis

Tessa kwenye Huba ni character kubwa.
 
Sijawadharau nimewaheshim kama alama ya tansia kina bishanga bichau pwagu na pwaguz rich na nk ndio wasanii wakubwa na wakongwe tumeiziona kaz zao ila kwa huyu milage aliyopewa na kaz aliyofanya haziendani

Fanya research kabla ya kuongea. Huyu kaanza kuigiza kuanzia 2001, kafanya kazi na wasanii wote. Sema alikuwa sio mtu wa kiki alijipreserve Sana.
 

Huyo hajui kitu. Ingekuwa anajua tamthilia za zamani asingeshindwa kumfahamu huyo legend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…