Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

Vp wakili alimsikiliza au

Ova
Huyo mwanamke anaelekea hakua anajua lolote kuhusu umiliki wa mali kwenye ndoa

Unawezaje kubadili majina ya umiliki wa kiwanja wakati bado mpo kwenye ndoa? Haiwezekani.

Alafu pili asichojua ni kuwa huwezi badili jina kwenye hati, hati ikishaandikwa imeandikwa. Utakua tu na transfer forms zinazorevike umikliki lakini hati inabaki na jina lile lile
 
Nimejikuta nacheka sana, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Aliyesema kiwanja ni cha mke ni mama mdogo wa marehemu hatujasikia upande wa ndugu wa mtuhumiwa Ila tayari umeshatoa hukumu

Unatumia nguvu kubwa Sana kumtetea mwanamke mwenzako Ila haiingii akilini etI eneo kanunua mke ila jina ni la mume halafu eti hakuna mchango wowote wa mume kwenye hiyo nyumba
 
Duh hii kesi imemkuta bro wangu fulani. Mke na ndugu zake wameuza nyumba ya urithi huko ushuanijamaa kapugwa chini. Mke kasepa na watoto.
 
Soma kwa makini kijans acha kulurupuka. Asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…