Duh hii kesi imemkuta bro wangu fulani. Mke na ndugu zake wameuza nyumba ya urithi huko ushuanijamaa kapugwa chini. Mke kasepa na watoto.
Bro ana bahati mbaya! 😊
Duh hii kesi imemkuta bro wangu fulani. Mke na ndugu zake wameuza nyumba ya urithi huko ushuanijamaa kapugwa chini. Mke kasepa na watoto.
Hapo ishu ni hasira tu, kuna kiwango cha hasira kikipitiliza akili ya kawaida inapoteaSasa mangi hako kajumba si angepotezea tu? Kaingia kwenye matatizo haya kwanini?
Jamaa ana hela kwao pia zipo hizo stories za kuokoteza tu, mbona jamaa anafahamika tu
Sasa mbona umerudi kule kule , ili hivi vitu viendane wakati wakuguatilia hati ya ardhi wizarani lazima uhakikishe vinashabiiana, swali langu kama yeye Ndio alienunua hiki kiwanja why haki kuandika mwa kwa Jina lake kwenye hati ya manunuzi, Hivi vitu tunevuishi sisi sio kwamba tunasimulia kuwafurahisha.Neno hati ya manunuzi umelikariri sana. Badala ya hati ya manunuzi sema mkataba wa manunuzi
Sio lazima jina liandikwe lako hata kama wewe ndio umenunua, jina litaandikwa lile unalotaka, unaweza kumuweka hata mchepuko wako
Huwa inatokea nilisha udhika ni kiwa bar nikampasulia mtu chupa ya bia kichwani , ebu fikiria ningekua na bastola?Sasa imemuwaje aue mtu Mangi?
Huoni kama jamaa kajiletea msala.
Sahv ndiyo akili zinamrudia itakuwa,ni majuto tuSasa imemuwaje aue mtu Mangi?
Huoni kama jamaa kajiletea msala.
Duh chanzo nini tena kilikuwaHuwa inatokea nilisha uzika ni kiwa bar nikampasulia mtu chupa ya bia kichwani , ebu fikiria ningekua na bastola?
Huwa inatokea nilisha uzika ni kiwa bar nikampasulia mtu chupa ya bia kichwani , ebu fikiria ningekua na bastola?
s
sisi sote ni wafwatiliaji wenye kujua ukweli wa hii chanzo mpaka kupelekea haya ni mtuhumiwa na marehemu. tusipende kujipa majukumu ya kuamua chanzo ili kujustify kilichotokea hasa kwenye mahusiano ya watu huwa kuna mengi zaidi ya hayo ndugu.
swali la kujiuliza kama jamaa alikuwa kapuku aliwezaje kumiliki silaha? alipewa kwa vigezo gani na ili kulinda nini kama hakuwa na mzigo $ wa kulinda? do
Duniani kuna watu wana maudhui, na wanachukulia ukimya wako kama unyonge ikifika hatua hiyo unaweza fanya chochote bila kuwaza hatma yakoDuh chanzo nini tena kilikuwa
Ova
Kwa sheria ipi?Mwanamke akiwa amenunua uwanja na amejenga nyumba kwa pesa yake, ni ya kwake. Huyo jamaa hata kama alichangia lakini nyumba ni ya Mwanamke. Huyo Mangi wa wapi, alitakiwa astuke mapema sana awe na ya kwake pembeni. Haya sasa anaishia jela na nyumba watakaa watu wengine.
Sahv ndiyo akili zinamrudia itakuwa,ni majuto tu
Lazima watu tu controll hasira/hisia zetu
Ova
Hapana ni utani uliovuka mipaka tu mbele ya watu tunaoheshimianaUngeshakuwa nyuma ya nondo saa hii! Usinambie ilikuwa mnagombea demu.😊
Wanawake ni waongo,mshikaji alivyo kama angekuwa kapuku yule demu asingemkubali.Inaonekana jamaa alikuwa vyena kifedha labda hapo kati mambo yakaharibika ndo demu akaanza kumzingua.Mwanaume hajaeahi kumuua mwanamke kwa sababu ya mali ya mwanamke.Isitoshe huyo mwanamke umezaa naye,sasa aliandika jina lake na la watoto na mali ni yake,mwanaume Gani anaweza kumuua?Aliyesema kiwanja ni cha mke ni mama mdogo wa marehemu hatujasikia upande wa ndugu wa mtuhumiwa Ila tayari umeshatoa hukumu
Unatumia nguvu kubwa Sana kumtetea mwanamke mwenzako Ila haiingii akilini etI eneo kanunua mke ila jina ni la mume halafu eti hakuna mchango wowote wa mume kwenye hiyo nyumba
Soma comment ya mleta mada mwishonialesema kuwa alikuwa kapuku ni nanI?
Ila mwanaume akijenga n nyumba ya wote? Au sio?Mwanamke akiwa amenunua uwanja na amejenga nyumba kwa pesa yake, ni ya kwake. Huyo jamaa hata kama alichangia lakini nyumba ni ya Mwanamke. Huyo Mangi wa wapi, alitakiwa astuke mapema sana awe na ya kwake pembeni. Haya sasa anaishia jela na nyumba watakaa watu wengine.
Urassa ni mwanamke, kweka ni mwanaume.Bure kabisa urassa gn mario