blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,774
- 9,913
Sasa inakuwaje walikuwa na migogoro ya muda mrefu lakini wanawatoto wadogo na wengine hawajaanza shule au pengine kuna watoto siyo wa huyo jamaa ?
Ni ngumu sana mkuu.Hapo ulipo una smartphone tu mzee! Kirahisi namna hiyo?
Nadhani kuwa na migogoro sio sababu ya maisha mengine kuacha kuendelea, ww ukiwaona wanandoa wazee bado wapo pamoja unadhani hapajawahi kuwa na migogoro kati yao?Sasa inakuwaje walikuwa na migogoro ya muda mrefu lakini wanawatoto wadogo na wengine hawajaanza shule au pengine kuna watoto siyo wa huyo jamaa ?
Nimekueleza neno hati na neno mkataba ni vitu viwili tofautiHuna guts za kunambia niandike kwa ufasaha.Kuna shida gani nilitumia hati ya manunuzi?
Kuna hasira kali ya kawaida na ya tatizo la akili, kuna jamii zinaonyesha hasira wazi na kuna jamii wanaficha hasira , mfano kwetu wakibosho wanaonekana kuonyesha hasira kuliko jamii nyingine za kichagaHasira sio hali ya kawaida. Ukowa na hasira maana yake hakuna nafasi ya kufanya reasoning. Ndio maana hasira kali zinahusishwa na ugonjwa wa akili.
Utimamu wa binadamu ni pamoja na uwezo wake wa kudhibiti hasira. Hasira inaishia kwenye aibu, kudhuru mwili, kuharibu mali na vifo.
Hata zipitiwe mara Milioni kama Polisi hawa hawa ndio wanahusika na enforcement ya sheria hizo ni silly hole.taratibu za kumiliki silaha zipitiwe upya, huwezi mtishia mtu chuma namna hii alafu ukaachwa kuendelea kumiliki chuma
Good Qn,Kama yeye ndo alinunua kwanini hakuweka majina yake toka mwanzo?
Vichwa vya chini ni ngumu kugombanaSasa inakuwaje walikuwa na migogoro ya muda mrefu lakini wanawatoto wadogo na wengine hawajaanza shule au pengine kuna watoto siyo wa huyo jamaa ?
Mafwele kaibukia BUNJU msibani kwa LaurentKwa mujibu wa Mafwele, Laurent na marehemu walikuwa wanandoa na wote walitoka mkoani Kilimanjaro
Msitudanganye,hakuna mwanaume wa kichaga akubali kuoa au kuishi kwenye kiwanja na nyumba aliojenga mwanamke,nasema hakuna,huyo jamaa atakuwa na mchango mkubwa sana hapo,ingekuwa wanaume wa Dar ningukubali...Tukio la kushtua limetokea Mtaa wa Senzele, Kata ya Bunju B, jijini Dar es Salaam, baada ya Laurent Kweka kudaiwa kumuua mkewe, Jeni Urassa, kwa kumpiga risasi kichwani kisha kujisalimisha Polisi.
Tukio hilo linadaiwa kutokea Alhamisi, Oktoba 1, 2026, majira ya saa 11:30 alfajiri ndani ya nyumba ya wanandoa hao. Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Faustine Mafwele, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa anashikiliwa kwa ajili ya upelelezi.
Kwa mujibu wa Mafwele, Laurent na marehemu walikuwa wanandoa na wote walitoka mkoani Kilimanjaro. Ameongeza kuwa baada ya uchunguzi na taratibu za kisheria kukamilika, mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.
Mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo, Rebecca Mbasha, ambaye amefanya kazi nyumbani hapo kwa miaka minane, amesema mauaji hayo yanadaiwa kufuatia mgogoro wa muda mrefu wa kifamilia kuhusu umiliki wa nyumba.
Rebecca amedai Jeni alikuwa akitaka kubadili majina yaliyokuwa kwenye hati ya nyumba ili kubakiza jina lake na la watoto wao, akieleza kuwa yeye ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga nyumba hiyo.
Amesema siku ya tukio Laurent aliingia nyumbani na baada ya muda mfupi alimsikia Jeni na baadaye akasikia kishindo. Aliporejea ndani, alimkuta Laurent akitoka chumbani akiwa ameshika bastola na kumwambia, “nimeshamaliza kazi.” Rebecca alipokwenda chumbani alimkuta Jeni akiwa ameanguka chini akiwa na jeraha kichwani.
Kwa upande wake, Jacqueline Nkaya, ambaye ni mama mdogo wa marehemu, amesema wanandoa hao walikuwa na mgogoro wa muda mrefu na wakati mmoja Jeni aliwahi kutishiwa kuuawa kwa bastola na mumewe, jambo aliloliripoti Polisi.
Amesema Laurent aliondoka na kwenda Kilimanjaro ambako alikaa takribani miezi miwili kabla ya kurejea Dar es Salaam siku ya tukio.
Majirani wamesema hawakuwa na taarifa za migogoro hiyo, wakieleza kuwa familia hiyo ilikuwa ikionekana kuishi kwa amani tangu ilipohamia katika nyumba hiyo Desemba 2025.
Marehemu ameacha watoto wanne, watatu wakiwa shuleni na mmoja bado hajaanza shule.
Chanzo : Global
Vijana tuache kulazimisha mambo tufanye kazi tusing'ang'anie mali za wanawake
Kuna hasira kali ya kawaida na ya tatizo la akili, kuna jamii zinaonyesha hasira wazi na kuna jamii wanaficha hasira , mfano kwetu wakibosho wanaonekana kuonyesha hasira kuliko jamii nyingine za kichaga
Kwahiyo mbaga unahisi jamaa yupo sahihi kuua ?Cjui n kwann wengi mnamuona mwanamume ndio mbaya kisa maneno ya dada wa kazi ambayo pia hayajanyooka kuhusu nani amejenga hiyo nyumba.
Wakuu, mnawezaje hivyo?
Hakika mkuu roho ya uuaji ni inside character sio adaptable behavior.Hasira sio hali ya kawaida. Ukowa na hasira maana yake hakuna nafasi ya kufanya reasoning. Ndio maana hasira kali zinahusishwa na ugonjwa wa akili.
Utimamu wa binadamu ni pamoja na uwezo wake wa kudhibiti hasira. Hasira inaishia kwenye aibu, kudhuru mwili, kuharibu mali na vifo.
Kwa mujibu wa Mafwele, Laurent na marehemu walikuwa wanandoa na wote walitoka mkoani Kilimanjaro
Mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo, Rebecca Mbasha, ambaye amefanya kazi nyumbani hapo kwa miaka minane
Yes yupo sahihi, mtu kufikia hapo ujue sio kwa bahati mbaya.Kwahiyo mbaga unahisi jamaa yupo sahihi kuua ?
Hahaha. Sasa sisi tuliosomesha wake na wachumba zetu ambao bado hawajaliamsha li "kazeze" na bado wapo "very loyal" tufanyeje mkuu? Tununue bastola kwa tahadhari? Halafu hujagusia kuhusu huyo mdada wa kazi anaonekana anajua sana mambo ya ndani ya mabosi wake.Kiwanja kilikuwa cha akina Jane (chake)na hakikuwa na hati.Hati ingekuwepo tangu mwanzo kusingekuwa na mayele..Nyumba ilipojengwa,mume akaandika jina lake kuleee halmashauri ambapo mke hakuwepo.Alipojua hilo ndipo kazeze ikaanza.
NB;Rule number one:Usijenge ukweni/kwa mke.
Rule number two:Mchumba hasomeshwi.
Tengeneza fact mkuu acha mambo ya fallacy of generations umefikiaje hilo hitimisho la hakuna ?Msitudanganye,hakuna mwanaume wa kichaga akubali kuoa au kuishi kwenye kiwanja na nyumba aliojenga mwanamke,nasema hakuna,huyo jamaa atakuwa na mchango mkubwa sana hapo,ingekuwa wanaume wa Dar ningukubali...
Wakati wa Kikwete kulitokea watu kuvamia maeneo ya wazi yaliyokaa muda mrefu bila kuendelezwa ya wamiliki wasiokuwa na hati zinazojulikana so wakagawana gawana wachache wenye nguvu walifanikiwa kuyarudisha ile wengi walipoteza.ukisema vya uvamizi manake kuna wenye hati za mwanzo? na hata kama mke alinunua hati ipo wapi mana kama angalikuwa anafwata sheria wala haya yasinge mkuta endapo kama alistahili kudai icho mnacho mlinda nacho kuhusu umiliki wa awali.
Kaka mbaga jr hakuna kosa lolote ambalo ni la msingi kiasi cha kulitatua kwa kuondoa uhai wa mtu.Yes yupo sahihi, mtu kufikia hapo ujue sio kwa bahati mbaya.
Kuna mambo mengi mno nyuma yake ambayo amekuwa akiyavumilia ila Siku hiyo akasema hapana, ngoja tukose wote.