Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
hilo ni kweli, rushwa inadididmiza mambo mengi, alafu wizara ya tehama nayo ni mzigo sana, taasisi nyingi ukipitia documents zake zinataka maulizo/malalamiko yote yanayowasilishwa yapandishwe kwenye mifumo, ila jambo hili halifanywi wala kuhimizwa.Hata zipitiwe mara Milioni kama Polisi hawa hawa ndio wanahusika na enforcement ya sheria hizo ni silly hole.
Hapo ni either kufumua jeshi hilo au katiba mpya ambayo ndo mama wa sheria zote.
usikute kila aliporipotiwa ametoa vitisho alikuwa anamwachia OCD buku ten ambazo total ni kama 60k au 100K na ndo zimekuja acha majanga. If police would take action accordingly tusingefikia Jane leo angekuwa ametoka Kanisani na watoto wake.
Polisi ni chanzo cha majanga mengi mno ni vioe tu mengi ni indirect.
muda huu tungekua tushapewa muhtasari alitoa taarifa tarehe gani na wliopokea taarifa