Duh Kweka kaanika mambo ya familia yake kwa ulimwengu watoto wake watakuwa wananyooshewa mikono kila mahali, na hata nyumba aliyomuulia mkewe huenda watoto wakaogopa kuishi.Na baadaye akaamua kumtafuta mwanasheria kabsa kutaka kudai talaka 😔
View attachment 3683456