Siyo viwanja vyote vina hati.Na, yawezekana akipewa,alirithi n.k.Mnaweza kujenga sehemu isiyo na hati wala vielelezo vya umiliki halafu baadaye umiliki ukaandaliwa.Umelikumbuka hilo
Anaposema kuwa kiwanja alinunua yeye means alinunua wala hakupewa , ndio nauliza unaponuna kuna hati ys manunuzi kutoka serikali za mitaa,wengi tunazo hizi wala hatuongru vitu tusivyo vijua. Swali ni kwamba kama alinunua yeye why halikuandikwa jina lake.Hapa tunazungumzia hati ya manunuziSiyo viwanja vyote vina hati.Na, yawezekana akipewa,alirithi n.k.Mnaweza kujenga sehemu isiyo na hati wala vielelezo vya umiliki halafu baadaye umiliki ukaandaliwa.Umelikumbuka hilo?
Ukinunua kuna documents mtasaini serikali za mitaa/Kijiji,hununui kama nanasiSiyo viwanja vyote vina hati.Na, yawezekana akipewa,alirithi n.k.Mnaweza kujenga sehemu isiyo na hati wala vielelezo vya umiliki halafu baadaye umiliki ukaandaliwa.Umelikumbuka hilo?
Mwanzoni mapenzi huwa ya moto,walipochokana labda mke ndiyo akaja na agenda hiyoAnaposema kuwa kiwanja alinunua yeye means alinunua wala hakupewa , ndio nauliza unaponuna kuna hati ys manunuzi kutoka serikali za mitaa,wengi tunazo hizi wala hatuongru vitu tusivyo vijua. Swali ni kwamba kama alinunua yeye why halikuandikwa jina lake.Hapa tunazungumzia hati ya manunuzi
Process za kupata hati unazijua lakini.Ukinunua kiwanja jina linaandikwa lako kwenye hati ya manunuzi,Why hakuandika jina lake? Mwanamke muongo huyu
Mwanaume mchagaSi huwa inasemwa kwamba wanawake wa Kichaga huwa wanawaua waume zao..naona huyu kawahiwa.
Wazo lako ni jema kama swali lako vilevile.Unajua kama kuna tofauti ya hati ya kiwanja na hati ya nyumba?Hebu mueleze msomaji,ipi ina value zaidi ya nyingine ingawa zote ni muhimu kwa wakati hitajika?Anaposema kuwa kiwanja alinunua yeye means alinunua wala hakupewa , ndio nauliza unaponuna kuna hati ys manunuzi kutoka serikali za mitaa,wengi tunazo hizi wala hatuongru vitu tusivyo vijua. Swali ni kwamba kama alinunua yeye why halikuandikwa jina lake.Hapa tunazungumzia hati ya manunuzi
Kwani Ile Sheria ya wanandoa Mali walizichuma wakiwa pamoja ni za wote ilishafutwa?
Serikali za mitaa haitoi hati mkuuAnaposema kuwa kiwanja alinunua yeye means alinunua wala hakupewa , ndio nauliza unaponuna kuna hati ys manunuzi kutoka serikali za mitaa,wengi tunazo hizi wala hatuongru vitu tusivyo vijua. Swali ni kwamba kama alinunua yeye why halikuandikwa jina lake.Hapa tunazungumzia hati ya manunuzi
Mwamba kajipeleka polisi kama yule mwamunindiMalezi! Malezi! Malezi!
Ova!
Itakuwa wametupa habari ya upande mmoja ambayo haina ukweliAnunue kiwanja halafu asiandike jina lake?
Si mmezaa watoto 3 sjui 4 tenaSheria ipo lakini mbele ya sheria, mwanamke anapewa uzito zaidi. Hii kesi kwa kuwa mwnamke anadai amenunua uwanja yeye, kajenga yeye kama ingetokea wanatalikiana nibau nyumba iuzwe au abaki nayo mwanamke na watoto wake.
Siku hizi ukienda mahakamani mwanamke mwenye watoto ndio anabaki na nyumba na watoto wake. Mahakama haziuzi nyumba siku hizi. Watu kibao wanatakikiana na nyumba "matrimonial property" anabaki nayo mwanamke na watoto wake.
Utadai iuzwe, mahakama itakuuliza watoto wakakae wapi? Badae haki za watoto zitaangaliwa kwamba wanatakiwa wawe na makao. Badae utaambiwa kisheria watoto wanatakiwa wakae na mama yao hasa wale wadogo chini ya miaka saba. 😊
Hapo mwisho wa siku, itatafutwa mali nyingine utapewa wewe na nyumba atabaki nayo mwanamke na watoto wake. 😊
na hapa ndipo watu wanapotapeliwa na kuliwa hela zao ila kiuhalisia serikali za mtaa huwa ha,ina uzito wala nafasi kwenye mauziano hati ya mauziano huwa ni kati ya mnunuzi na muuzaji majirani waliozunguka wakiwa mashahidi wakuu.Serikali za mitaa haitoi hati mkuu
Ndio wamewahianaMwanaume mchaga
Unapaswa kuelewa hati ya manunuazi inakufa pale inapotoka hati yaWazo lako ni jema kama swali lako vilevile.Unajua kama kuna tofauti ya hati ya kiwanja na hati ya nyumba?Hebu mueleze msomaji,ipi ina value zaidi ya nyingine ingawa zote ni muhimu kwa wakati hitajika?
Nyie mnabushia vitu msivyovijua, Nsio shida yenu. Ukinunua ardhi kuna hati ya manunuzi ambayo inaeleza nani kauza nani kauziwa na bei gani, hapo serikali za mitaa inchukua asilimia 10 ya mauzo, na risiti unapewa.Serikali za mitaa haitoi hati mkuu
Siwafahamu kiundani...Nje ya story hii unawafahamu kiundani hawa wanandoa....!??
Hat ni ya ardhi/ Kiwanja hakuna hati ya nyumba . kwakua ardhi Ndio inabeba nyumba Ndio maana tunatumia ardhiWazo lako ni jema kama swali lako vilevile.Unajua kama kuna tofauti ya hati ya kiwanja na hati ya nyumba?Hebu mueleze msomaji,ipi ina value zaidi ya nyingine ingawa zote ni muhimu kwa wakati hitajika?