Noma sana ndiyo maana wimbo la kataa ndoa humu jf limekua ni la kimkakati ni wazi kuwa watu wanaona mambo kama hayo then ndoa ya nini,ila ndoa nzuri haiji tu bali chukua muda ukitaka kuoa, then usiwe na papara na kumbuka huyo unaenda kumuoa utaishinae for the rest of ur life so usikurupuke au kuhimizwa mtu wa kuoa,chunguza hisia zako je unampenda na tabia zinaendana na je backgraound ya familia yao pia usiache kumshirikisha Mungu,mfanye mwanandoa mwenzako kama rafiki usimchukulie kama mshindani mapungufu yenu muyaongee kwa kutafuta majibu na sio ushindani pole kwa wafiwa inasikitisha sana