Majority ya wanawake hutaka umiliki wa mali za kwenye ndoa kwa 100% na kama mwanaume akiwa makini tokea siku za uchumba au mwanzoni mwa baada ya kufunga ndoa atalijua hili. Baada ya kujua hili mwanaume akiwa na hekima atajua namna ya kunavigate. Mwanamke anaamini kuwa wa kwanza kufa ni mume na hivyo bora achukue umiliki 100% mapema ili aenjoy yeye na watoto na mwanaume mwingine atakayeishi naye baada ya baba watoto kuwa ashakufa. Bahati mbaya wanaume wengi hujua ukweli huu wakiwa wamechelewa sana na hujikuta wanachukua maamuzi kwa hasira, hamaki, na matokeo ndiyo hayo ya kuua mtu. By the way kuna habari kuwa marehemu ameacha madeni na hata basi amekopea kwa kutumia dhamana ya asset za watu wengine. Yaan kwa kifupi ile ndoa iliyoonekana ina amani mafaninikio na mfano wa kuigwa ndiyo sasa ndiyo mambo yanaanza kuvuja.Kamuua alafu kajisalimisha? Basi mwamba hakua mtu mbaya, ila Kuna muda ukiona kelele ndani Bora acha mali jiondokee
Na kama anajiweza au mpambanaji angepata nyumba nyingine bora kuliko hio.Ni fala, ameua kwa kukusudia. Hapo anakula kitanzi, uchunguzi ni miaka mitatu au minne. 😊
Watoto watalelewa na babu, bibi au shangazi au vyovyote. Watakosa baba na mama na mali hiyo pia wataikosa.
Hapo kuna watu wanapanga mipango namna ya kunufaika na hiyo nyumba au kuichukua kabisa.
Inabidi akutane na matokeo ya kosa lake la kukusudia.Ni fala, ameua kwa kukusudia. Hapo anakula kitanzi, uchunguzi ni miaka mitatu au minne. 😊
Watoto watalelewa na babu, bibi au shangazi au vyovyote. Watakosa baba na mama na mali hiyo pia wataikosa.
Hapo kuna watu wanapanga mipango namna ya kunufaika na hiyo nyumba au kuichukua kabisa.
Rebecca amedai Jeni alikuwa akitaka kubadili majina yaliyokuwa kwenye hati ya nyumba ili kubakiza jina lake na la watoto wao, akieleza kuwa yeye ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga nyumba hiyo.
Mke wake ametokea Kilimanjaro ( Angemalizia kabisa kwa kusema ni .. Mchaga)
Kiwanja cha ukweni? Sikuelewa, Utapeli kumbe ulianzia hapa. Anyway, jamaa alipaswa kukubali kuwa kazidiwa akili afikirie watoto wake.Kiwanja kilikuwa cha akina Jane
Rudia kusoma habari mkuu tuliza akiliMajority ya wanawake hutaka umiliki wa mali za kwenye ndoa kwa 100% na kama mwanaume akiwa makini tokea siku za uchumba au mwanzoni mwa baada ya kufunga ndoa atalijua hili. Baada ya kujua hili mwanaume akiwa na hekima atajua namna ya kunavigate. Mwanamke anaamini kuwa wa kwanza kufa ni mume na hivyo bora achukue umiliki 100% mapema ili aenjoy yeye na watoto na mwanaume mwingine atakayeishi naye baada ya baba watoto kuwa ashakufa. Bahati mbaya wanaume wengi hujua ukweli huu wakiwa wamechelewa sana na hujikuta wanachukua maamuzi kwa hasira, hamaki, na matokeo ndiyo hayo ya kuua mtu. By the way kuna habari kuwa marehemu ameacha madeni na hata basi amekopea kwa kutumia dhamana ya asset za watu wengine. Yaan kwa kifupi ile ndoa iliyoonekana ina amani mafaninikio na mfano wa kuigwa ndiyo sasa ndiyo mambo yanaanza kuvuja.
Manamake ya kichaga huyajui,huko machame nyumba nyingi zinamilikiwa na wajane,wazee waliuawa kwa mashoka,visu mitaani,au kisukariNa pia huenda mwanamke alikuwa na genuine reason ya kutaka kuandikisha kwa jina lake. N vizuri sana kujua walivyokutana, walikuwa na nini, walichangia namna gani kwenye maendeleo yao na kilichowagombanisha ni nini.
Ukiona hivyo lzm kuna namna mwanaume alizinguaPole kwa msiba.
SI walifunga ndoa ? , mkifunga ndoa mnakua mwili mmoja hayo mambo ya kiwanja cha mke nyumba ya mume yanatoka wapi?
Sitetei chochote nakwambia tu wapuuzi wengi tu wana silaha wala sio mabilionea.labda za magendo na jamaa kama ilikuwa ni ya magendo angesha kamatwa kwa kuwa alishawai kushtakiwa kwa tishio la kumdhuru mwanzo na iyo silaha. na vigezo vya kumiliki silaha vipo wazi hasa kwenye umiliki wa mali kuanzia kiasi fulani.
unless sijaelewa ilitaka kusema nini au unajaribu kutetea nini hasa karibu
Hajiwezi mkuu ndio maana kaona bora wakose woteNa kama anajiweza au mpambanaji angepata nyumba nyingine bora kuliko hio.
exactly but hakikisha watoto wako wanafaidi"Ukijua kutafuta mali, jifunze pia kuficha mali na kuilinda mbele ya mwanamke"- Mzee mmoja wa kitaani.
Yes, au angeweka majina yote mawili kwenye hati. Anyway maji yameshamwagika, Jamaa alikosa mshauri mzuri halikuwa suala lenye hadhi ya mauaji.Hio hati mwanamke asingeweza kubadili bila ruhusa yake. Angekataa tu huyo mwanamke aende mahakamani wauze wagawane.
Upo sahihi kwa namna moja au nyingine kama mwanaume ndie alie kua akiendesha uchumi wa familia, sidhani kama kungekua na ugumu wa yeye kutafta mali nyingine.Na kama anajiweza au mpambanaji angepata nyumba nyingine bora kuliko hio.
Huyu jamaa hajui kama ukiwa na milion 5 unaweza kumiki silaha😂Sitetei chochote nakwambia tu wapuuzi wengi tu wana silaha wala sio mabilionea.
fwatilia vigezo vya kumiliki silaha na wala siyo mpaka uwe na billions of money.ila elewa jamaa alikuwa anamiliki kihalali na alikuwa na mzigowa kiasi aliobarikiwa na Mungu. Ndo mana mpaka sasa hujaskia kuwa alikuwa akimiliki silaha kiholela.Sitetei chochote nakwambia tu wapuuzi wengi tu wana silaha wala sio mabilionea.
Hii mbaya sanaVijana tuache kulazimisha mambo tufanye kazi tusing'ang'anie mali za wanawake
mzee usikurupuke tulia usome uzi kwa utulivu na epuka mihemko.Huyu jamaa hajui kama ukiwa na milion 5 unaweza kumiki silaha😂