Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?


Wabunge wa ccm hawana uwezo wowote wa kuhoji mambo asiyependa yesu wao, maana hawako bungeni kwa kura za wananchi, bali kwa maagizo ya yesu wa ccm. Kama hao wabunge hawawezi hata kuhoji ukweli wa mbunge mwenzao, ndio watahoji mahitaji ya wananchi? Halafu tukisema hilo ni bunge kibogoyo watu wanahamaki.
 
Binafsi huwa sikuelewi John, wewe msimamo wako ni upi ??, ni majinuni, mtetezi wa serikali hii dharimu, au ni mwanaharakati ?, kwa sababu ishu kama hiyo inadhihirisha ubovu wa bunge la sasa na serikali yake, lakini naona umeandika soft sana, badala ya kusema ukweli kwamba bunge kwa hakika linaendeshwa hovyo, any way naamini ni swala la muda tu, tutaelewa tu wapi tunakoelekea
 

Bwashee tuliomba picha za ajali haututupa mpaka leo.

 
Hivi inawezekanaje Mbunge na Naibu waziri wa zamani apate ajali alazwe siku mbili tena katikati ya jiji la Dodoma halafu habari zake zisisambae wakati RAS tu wa ARUSHA zilisambaa within a second

Mwenye angalau picha ya ajali yake aweke hapa.
Siyo rahisi kukufikishia habari nyumbeni kwako, last week zimewekwa picha hapa za ajali ya gari lenye namba za usajili NW UM na wengi walisifia sana kazi ya airbags kuwa zilimfanya awe salama lakini baadaye akafariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…