johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inasikitisha sana!Halafu kwenye msiba mtu ana simama na kusema alinitumia text kunishukuru niliko mtoa. So what?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana!Halafu kwenye msiba mtu ana simama na kusema alinitumia text kunishukuru niliko mtoa. So what?????
Huyu mzee ni ms..enge.Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya..
Deportvo la corona ipo daraja la ngapi nchini Hispania?Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya...
Leo hii tayari wameshaanza kujutiaMtaelewa tu wapinzani si ndio waliwachelewesha Kupata maendeleo?
Ndugaye mbele ya Mungu sijui atajibu kwa lugha gani ili asihukumiwe adhabu mbayaAlipigwa mtu risasi Kama Tembo na Kisha akafukuzwa ubunge kwa utoro wa kutohudhuria bunge we unashangaa hiyo tu
Kabisabetri zimeanza kugoma kuwasha tochi
wabunge wenyewe fake ndiyo maana wanadharaulikaMabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya..
Ndiyo unaamka usingizini?Mzee mgaya katika simulizi!
Good for badnessMzee Mgaya is good.
Umeandika nini??Angekuwa kwa Covid 19 wangesema sana, tena kwa kelele. Ndio upevu wa akili zute umefika hapo.
Bunge la kijani ni bunge la manyani🦍🦍Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya.
Hebu fikiria mbunge anapata ajali Dodoma tena imehusisha gari tatu na pikipiki na zote zimekokotwa hadi polisi lakini wapiga kura wake na wananchi hawapati taarifa? Anauliza Mgaya.
Hata PM mh Majaliwa amesikitika sana kwa serikali kutotaarifiwa juu ya ajali hiyo na hata wapiga kura wake ambao wangeweza kumuombea badala yake wanaarifiwa tu msiba tena baada ya wabunge wa CCM kuanza kuhoji yuko wapi mwenzetu Nditiye?
Mzee Mgaya anaomba udhaifu huu uliotokea kwenye ofisi ya Katibu wa bunge usijirudie tena.
Mgaya anamalizia kwa kusema " Tumeanza kuwakumbuka akina Mnyika "
Maendeleo hayana vyama!
Mzee Mgaya ataisoma namba katika zama hizi za uchumi wa kati.Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya.
Hebu fikiria mbunge anapata ajali Dodoma tena imehusisha gari tatu na pikipiki na zote zimekokotwa hadi polisi lakini wapiga kura wake na wananchi hawapati taarifa? Anauliza Mgaya.
Hata PM mh Majaliwa amesikitika sana kwa serikali kutotaarifiwa juu ya ajali hiyo na hata wapiga kura wake ambao wangeweza kumuombea badala yake wanaarifiwa tu msiba tena baada ya wabunge wa CCM kuanza kuhoji yuko wapi mwenzetu Nditiye?
Mzee Mgaya anaomba udhaifu huu uliotokea kwenye ofisi ya Katibu wa bunge usijirudie tena.
Mgaya anamalizia kwa kusema " Tumeanza kuwakumbuka akina Mnyika "
Maendeleo hayana vyama!
Unataka tufanyeje sasa?Watu wanakufa kwa Korona, nyie vichwapanzi mpo bize na Chadema. Hamna utu?
Hata wale COVID -19 Walikuwa Hawajui?Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya.
Hebu fikiria mbunge anapata ajali Dodoma tena imehusisha gari tatu na pikipiki na zote zimekokotwa hadi polisi lakini wapiga kura wake na wananchi hawapati taarifa? Anauliza Mgaya.
Hata PM mh Majaliwa amesikitika sana kwa serikali kutotaarifiwa juu ya ajali hiyo na hata wapiga kura wake ambao wangeweza kumuombea badala yake wanaarifiwa tu msiba tena baada ya wabunge wa CCM kuanza kuhoji yuko wapi mwenzetu Nditiye?
Mzee Mgaya anaomba udhaifu huu uliotokea kwenye ofisi ya Katibu wa bunge usijirudie tena.
Mgaya anamalizia kwa kusema " Tumeanza kuwakumbuka akina Mnyika "
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna bunge kuna baraza la CCMAlipigwa mtu risasi Kama Tembo na Kisha akafukuzwa ubunge kwa utoro wa kutohudhuria bunge we unashangaa hiyo tu
Utawala katili afadhali ya shetaniMabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya.
Hebu fikiria mbunge anapata ajali Dodoma tena imehusisha gari tatu na pikipiki na zote zimekokotwa hadi polisi lakini wapiga kura wake na wananchi hawapati taarifa? Anauliza Mgaya.
Hata PM mh Majaliwa amesikitika sana kwa serikali kutotaarifiwa juu ya ajali hiyo na hata wapiga kura wake ambao wangeweza kumuombea badala yake wanaarifiwa tu msiba tena baada ya wabunge wa CCM kuanza kuhoji yuko wapi mwenzetu Nditiye?
Mzee Mgaya anaomba udhaifu huu uliotokea kwenye ofisi ya Katibu wa bunge usijirudie tena.
Mgaya anamalizia kwa kusema " Tumeanza kuwakumbuka akina Mnyika "
Maendeleo hayana vyama!
Bunge la chama kimoja halioni haja ya wananchi kupata taarifa juu wawakirishi wao batili. Kila kitu vuruvuluruuu hakuna utaratibu😂Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya.