Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya..
Huyu mzee ni ms..enge.
 
Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya...
Deportvo la corona ipo daraja la ngapi nchini Hispania?
 
Alipigwa mtu risasi Kama Tembo na Kisha akafukuzwa ubunge kwa utoro wa kutohudhuria bunge we unashangaa hiyo tu
Ndugaye mbele ya Mungu sijui atajibu kwa lugha gani ili asihukumiwe adhabu mbaya
 
Mabunge yaliyopita wabunge wa upinzani hususani Chadema walikuwa mstari wa mbele kudadisi na kuujulisha umma pale sintofahamu yoyote inapotokea, anasema mzee Mgaya..
wabunge wenyewe fake ndiyo maana wanadharaulika
 
Hii inaitwa organized crime, siyo kweli kwamba walikuwa hawajui, Huu ni mkakati uliopangwa na ma ccm yenyewe.
Ma ccm ni mazuri kwenye kutengeneza tatizo, halafu wanaanza kulalamika, anatoka kichaaa mmoja tu analimaliza tatizo na wanamshangilia kuwa ni jembe
 
Waziri analalamika nn akati kilakitu walishasema serikali ndio wanatakiwa kusema
 
Bunge la kijani ni bunge la manyani🦍🦍
 
Mzee Mgaya ataisoma namba katika zama hizi za uchumi wa kati.
 
Hata wale COVID -19 Walikuwa Hawajui?
 
Utawala katili afadhali ya shetani
 
Bunge la chama kimoja halioni haja ya wananchi kupata taarifa juu wawakirishi wao batili. Kila kitu vuruvuluruuu hakuna utaratibu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…