elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
-
- #81
Yah kaka na kuna ngoma kibao za mensen zina quality mbovu.Hahaaaaaaa kama Mesene selector alivyoanza
Ndo hivyo ila ndo hivyo jamaa ametengeneza pesa sanaYah kaka na kuna ngoma kibao za mensen zina quality mbovu.
Kuna ile ngoma ya country boy ft linah ngoma nzuri ila production mbovu saaana yani saana nikitaka isikiliza uwa naipenda, inabidi niiskilize kwa sauti ya chini
Sure watz hawaangalii quality ya sound ili mradi wameupenda twende kaziNdo hivyo ila ndo hivyo jamaa ametengeneza pesa sana
Ndo hivyoSure watz hawaangalii quality ya sound ili mradi wameupenda twende kazi
Game imechange sana kuanzia aina ya unaji studio za mziki mpaka videos.
Visual lab kapotea, nisher naye chalii, akina epidu walishawapoteza empty soulz, 2eyes, mwananchi production, benchmark production tayari
+ Icecream ya Noorah.YH vivian tilya.
Unakumbuka ngoma kama siamini macho yangu ya matonya.
Nilikuwa naikubari mpaka basi
Chungwa ya sumalee
Mwache aende zake ya sumalee
Mimi wewe abby skills na mr blu. Hii ngoma blu alimpa abby skills baada ya kutaka mpa mapozi akaghairi akaimba yeye ndipo akampa mimi wewe.
Kweli afadhali kajiongeza.
Toka pc ziwe bei chee na kudownload fl studio cubase na new handle basi vikaanza ibuka vistudio vya magheton kiasi kwamba kurekodi kukawa rahisi nyimbo za quality ndogo zikafunika za quality kubwa
Pfink kuna kipindi alishindqa sima alama za nyakati akawa anatumia nguvu nyingu kurekodi ngoma lakini zilikuwa na mahadhi sana ya mbele nikajua haziwezi fika popote.tatizo hawakujiandaa na mabadiliko.. singeli nyimbo zinarekodiwa studio za sebuleni kwa mama zao.. ila wanapiga hela balaa... huku p funk au master jay anaumiza kichwa ila nyimbo haibambi wala kuleta faida
Enzi hizo radio free iko on fire.. Yaani ikifika ijumaa unakaaa attention kusikia hizi ngoma kwenye top tenHivi nini kilimtoa uhai Roy?
The man was talented na alipofariki naona mdogo wake enika naye mziki aliupa kisogo.
Yule dada anajua sana nikikumbuka ngoma yake ya baridi kama hii, nimekubamba sijakubamba, wimbo wa makamoa aliomshirikiaha enika wa baby please, nako2nako- hawatuwezi
Sina imani na ww,haya ni mahaba yako binafsi kwa huyo domohawajapotea kwa kupenda.. enzi hizo visual lab tulikuwa tunamuona quality sababu watu walikuwa hawaendi god father au usa...
sasa diamond katufungua macho kwa kuona video quality na hii ikasababisha kina visual lab wakose wateja...
maana leo visual lab hata akaze vipi hana mtaji wa god father au capital dreams.. ambapo diamond anawatumia..
Kidbway na glory robinsonEnzi hizo radio free iko on fire.. Yaani ikifika ijumaa unakaaa attention kusikia hizi ngoma kwenye top ten
Ilikuwa noma sana.. Tulikuwa tunatulia kimya tunarekod kwenye kanda mara paaap tangazo katikat ya wimbo, Au mtoto wa mama sabuni anaongea.Kidbway na glory robinson
Ipo kishkaji tu na kina mejja... baada ya olopa na ogopa djs kutakeover.Aaah hivi calif records bado ipo. Hivi wajua sappy wa ogopa ni kijana wa mwanza
Jumamos nilikuwa namsubiri Aboubakar Sadick na ladha kumi za bongoIlikuwa noma sana.. Tulikuwa tunatulia kimya tunarekod kwenye kanda mara paaap tangazo katikat ya wimbo, Au mtoto wa mama sabuni anaongea.
Radio free ilikuwa inatisha sana zamani sasa hivi imebaki jina tuu.Jumamos nilikuwa namsubiri Aboubakar Sadick na ladha kumi za bongo
Jay na P ni kujitambua kulikowafanya waachane na bongoflava unamrekodia mtu single kwa laki 5 beat inakua yake then anapigia show moja million moja so wakawa wanataka mikataba ya kula asilimia kwenye shows na endorsements zingine iwapo nyimbo zitatumikatatizo hawakujiandaa na mabadiliko.. singeli nyimbo zinarekodiwa studio za sebuleni kwa mama zao.. ila wanapiga hela balaa... huku p funk au master jay anaumiza kichwa ila nyimbo haibambi wala kuleta faida