Jao wakuu wa jeshi wakubwa walikuwa wanaongoza migambo, au akili yako haina akiliPutin ana nyuklia na huwa tunaambiwa hapa anatumia mgambo tu yale majeshi yake halisi hajayagusa. Yaani na yeye anacheza cheza na NATO kupitia Ukraine. Au ni uongo?
Swali langu mbona la kawaida sana? Tatizo ni kuwa GT kwenye mambo mepesi.Jao wakuu wa jeshi wakubwa walikuwa wanaongoza migambo, au akili yako haina akili
Nimeishia kucheka kama NMBUnaweza kujua na usijue namna ya kujinasua kwasababu uliingia vitani kibabe na sasa unaona aibu kutangaza umeshindwa. Hilo la kwanza.
Jambo la pili urusi atakomaa hata kama anapata hasara ilimradi adui yake USA asimsogelew karibu. Maana yake akitangaza kushindwa tu.. Mmarwkani atakuwa karibu yake kama NMB.
Mjinga hua hajioni anaonwa utaishia kutombaaaaaa wewewe mtaani unajiona mjanja wenye akili wanakung'ong'a tu safari yako inamwishoKama sisi Tanzania [emoji1241] tumelijua hilo, iweje liwe jambo geni kwa Russia [emoji635]?
Dola bilioni 60 kwa marekani ni kitu kidogo sana, Marekani bajeti ya jeshi pekee ni dola bilioni elf 2Huwezi kusema marekani inatoa msaada kiduchu!! Mpaka sasa marekani imeshatoa zaidi ya dola bilioni 60!! Huo ni msaada kiduchu!!! Ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa miaka mitatu!! Halafu bila aibu unasema ni msaada kiduchu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo ushangae na wewe hapoKama sisi Tanzania [emoji1241] tumelijua hilo, iweje liwe jambo geni kwa Russia [emoji635]?
Watu hawajakusoma,Mimi ni pro- [emoji1258] lakini michango yako Huwa naielewa sana,hata ukiegemea upande wa pili ,mara nyingi HutabilikiSwali langu mbona la kawaida sana? Tatizo ni kuwa GT kwenye mambo mepesi.
View attachment 2319606
Kabisa mkuu Kp. Halafu ww kuwa Pro USA haimaanishi kuwa kila kitu cha USA unasapoti unaweza pia ukapinga jambo kama halikupendezi au ukasifia upande wa pili kama umefanya sawa.Watu hawajakusoma,Mimi ni pro- [emoji1258] lakini michango yako Huwa naielewa sana,hata ukiegemea upande wa pili ,mara nyingi Hutabiliki
Tatizo la hapa jukwaani tunashindwa kusomana Hali zetu,
[emoji106][emoji106]Kabisa mkuu Kp. Halafu ww kuwa Pro USA haimaanishi kuwa kila kitu cha USA unasapoti unaweza pia ukapinga jambo kama halikupendezi au ukasifia upande wa pili kama umefanya sawa.
I wish we members were able to bend to any right direction and not to be forced out of shape just to be seen as A PRO SOMETHING, I wish we were flexible and not rigid.
Kuna ambao wanasema jumamosi ushindi lazima sababu wao wamejipima na timu ngumu.Mashabiki wa yanga mna maneno sana.
ww ulijua mrusi aliibalance vita Yetu na uganda ili auze silaha zake??Kama sisi Tanzania [emoji1241] tumelijua hilo, iweje liwe jambo geni kwa Russia [emoji635]?
Mkuu hizo zitakuwa ni Strela MANPADS umekosea typing. Sijawahi isikia hiyo Streilerww ulijua mrusi aliibalance vita Yetu na uganda ili auze silaha zake??
Mganda alimuuzia ndege vita!
Sisi katuuzia heat seaking misilles (Streiler) za kudungulia ndege!
Kama unakumbuka ndege za Amini kuna wakati zilitamba sana Mwanza, baada ya sisi kuishiwa mabomu ya kuzidungua!
Kumwendea mrusi akaweka mashariti kuwa anataka hard cash hakopeshi tena au tuingie naye mikataba migumu!
Ilitusaidia Hekima ya Rais Nyerere kuomba msaada wa hayo Mabomu Algeria na Msumbiji...
Ulijua??
Asante!Mkuu hizo zitakuwa ni Strela MANPADS umekosea typing. Sijawahi isikia hiyo Streiler
Ile kauli ya kusema wanajipanga kutenga bajeti kwa ajili ya kuisaidia Ukraine miaka mitano ya vita hii, ilitosha kabisa kuelewa dhamira ya NATO ni ipi.hizi mbinu anazotumia za kumtumia Ukraine misaada kidogo kidogo ni janja janja ya kumfanya urusi asishinde haraka maana bado kuna vitu wanamsoma Urusi kwa hio hawatak vita iishe haraka, Ukraine ndio inatumika kama uwanja wa Majaribio ya kumu observe Russia, Hata hizi silaha wanazowatumia Ukraine nyingine huwa zinapachikwa ukraine wao wanaminya rimoti Marekani... Lengo ni kuona vipi Uurusi ana respond wao wananakili.
Labda Russia aamue kutumia Nuclear tu, atawezaje kupambana kama hivyo unavyosema ukiwa hauna ela? Huko North Korea watu hawana maisha mazuri sababu serikali inapambana kulinda silaha zake za Nuclear na ulinzi.Unaweza kujua na usijue namna ya kujinasua kwasababu uliingia vitani kibabe na sasa unaona aibu kutangaza umeshindwa. Hilo la kwanza.
Jambo la pili urusi atakomaa hata kama anapata hasara ilimradi adui yake USA asimsogelew karibu. Maana yake akitangaza kushindwa tu.. Mmarwkani atakuwa karibu yake kama NMB.
Atapoa tu, alianza kwa kasi sana na sasa majeshi yake kasi ya kushambulia imeshuka.Putin alijazwa akajaa sasa ndio anaanza kugundua mtego alioingia kibaya ni kujitoa anaona aibu.
HahahahaNaskia mpaka sasa katumia 5% tu ya jeshi lake hiyo 95% iliyobaki bado haijatumika