Marekani anatoa misaada kiduchu hataki Ukraine ashindwe wala kushinda sana, anataka vita iwe ndefu ili kumfanyia utafiti Urusi na Ukraine awe mdaiwa

Marekani anatoa misaada kiduchu hataki Ukraine ashindwe wala kushinda sana, anataka vita iwe ndefu ili kumfanyia utafiti Urusi na Ukraine awe mdaiwa

Putin ana nyuklia na huwa tunaambiwa hapa anatumia mgambo tu yale majeshi yake halisi hajayagusa. Yaani na yeye anacheza cheza na NATO kupitia Ukraine. Au ni uongo?
Jao wakuu wa jeshi wakubwa walikuwa wanaongoza migambo, au akili yako haina akili
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Jao wakuu wa jeshi wakubwa walikuwa wanaongoza migambo, au akili yako haina akili
Swali langu mbona la kawaida sana? Tatizo ni kuwa GT kwenye mambo mepesi.
images - 2022-08-10T004518.153.jpeg
 
Unaweza kujua na usijue namna ya kujinasua kwasababu uliingia vitani kibabe na sasa unaona aibu kutangaza umeshindwa. Hilo la kwanza.

Jambo la pili urusi atakomaa hata kama anapata hasara ilimradi adui yake USA asimsogelew karibu. Maana yake akitangaza kushindwa tu.. Mmarwkani atakuwa karibu yake kama NMB.
Nimeishia kucheka kama NMB
 
Huwezi kusema marekani inatoa msaada kiduchu!! Mpaka sasa marekani imeshatoa zaidi ya dola bilioni 60!! Huo ni msaada kiduchu!!! Ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa miaka mitatu!! Halafu bila aibu unasema ni msaada kiduchu!!!
Dola bilioni 60 kwa marekani ni kitu kidogo sana, Marekani bajeti ya jeshi pekee ni dola bilioni elf 2
 
Ngoja andunje Putin aendelee kupigishwa danadana, hakuna namna [emoji848]
 
Swali langu mbona la kawaida sana? Tatizo ni kuwa GT kwenye mambo mepesi.
View attachment 2319606
Watu hawajakusoma,Mimi ni pro- [emoji1258] lakini michango yako Huwa naielewa sana,hata ukiegemea upande wa pili ,mara nyingi Hutabiliki

Tatizo la hapa jukwaani tunashindwa kusomana Hali zetu,
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Watu hawajakusoma,Mimi ni pro- [emoji1258] lakini michango yako Huwa naielewa sana,hata ukiegemea upande wa pili ,mara nyingi Hutabiliki

Tatizo la hapa jukwaani tunashindwa kusomana Hali zetu,
Kabisa mkuu Kp. Halafu ww kuwa Pro USA haimaanishi kuwa kila kitu cha USA unasapoti unaweza pia ukapinga jambo kama halikupendezi au ukasifia upande wa pili kama umefanya sawa.

I wish we members were able to bend to any right direction and not to be forced out of shape just to be seen as A PRO SOMETHING, I wish we were flexible and not rigid.
 
[emoji106][emoji106]
 
Kama sisi Tanzania [emoji1241] tumelijua hilo, iweje liwe jambo geni kwa Russia [emoji635]?
ww ulijua mrusi aliibalance vita Yetu na uganda ili auze silaha zake??
Mganda alimuuzia ndege vita!
Sisi katuuzia heat seaking misilles (Streiler) za kudungulia ndege!
Kama unakumbuka ndege za Amini kuna wakati zilitamba sana Mwanza, baada ya sisi kuishiwa mabomu ya kuzidungua!
Kumwendea mrusi akaweka mashariti kuwa anataka hard cash hakopeshi tena au tuingie naye mikataba migumu!
Ilitusaidia Hekima ya Rais Nyerere kuomba msaada wa hayo Mabomu Algeria na Msumbiji...
Ulijua??
 
Mkuu hizo zitakuwa ni Strela MANPADS umekosea typing. Sijawahi isikia hiyo Streiler
 
hizi mbinu anazotumia za kumtumia Ukraine misaada kidogo kidogo ni janja janja ya kumfanya urusi asishinde haraka maana bado kuna vitu wanamsoma Urusi kwa hio hawatak vita iishe haraka, Ukraine ndio inatumika kama uwanja wa Majaribio ya kumu observe Russia, Hata hizi silaha wanazowatumia Ukraine nyingine huwa zinapachikwa ukraine wao wanaminya rimoti Marekani... Lengo ni kuona vipi Uurusi ana respond wao wananakili.
Ile kauli ya kusema wanajipanga kutenga bajeti kwa ajili ya kuisaidia Ukraine miaka mitano ya vita hii, ilitosha kabisa kuelewa dhamira ya NATO ni ipi.

Ni ngumu Russia kufanikiwa hasa ukitazama wenzao wana pesa chafu sana kuliko yeye. Muunganiko wa US na washirika wake sio tu US hataki aonekane yeye kama yeye ila pia anatazama na uchumi.

Hata kwa mbali bado sioni ushindi kwa Russia.
 
Unaweza kujua na usijue namna ya kujinasua kwasababu uliingia vitani kibabe na sasa unaona aibu kutangaza umeshindwa. Hilo la kwanza.

Jambo la pili urusi atakomaa hata kama anapata hasara ilimradi adui yake USA asimsogelew karibu. Maana yake akitangaza kushindwa tu.. Mmarwkani atakuwa karibu yake kama NMB.
Labda Russia aamue kutumia Nuclear tu, atawezaje kupambana kama hivyo unavyosema ukiwa hauna ela? Huko North Korea watu hawana maisha mazuri sababu serikali inapambana kulinda silaha zake za Nuclear na ulinzi.

US na Allies wake wana pesa chafu mkuu, na isitoshe inaonesha wao walishajipanga juu hili. Kama Russia angetaka kuikomoa Ulaya/NATO angestop kuwauzia Gas. Ila mpaka anaruhusu kuwauzia maana yake ana haja na pesa haswa.
 
Back
Top Bottom