Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

Marekani: Apigwa risasi baada ya kugonga mlango usio sahihi

Hiyo ni kawaida , Marekani watu wanamiliki silaha so don't poke your nose into their homes , watu wanaogopa criminals wanaotress pass na kufanya uhalifu hasa watu weusi ,so ukisogeza pua zako lazima ule za kichwa ,hiyo ni kawaida Marekani
 
Marekani sio kama Uswahili kwenu mlikozoea kuingia ingia tu mpaka vitandani kwa watu , watu wako fully loaded wakisense Tu any danger ni risasi unakula
 
A normal day in America ........ US ni Hii inchi ya fursa pia ni inchi hatari zaidi kuishi dunian kwa wakati mmoja, Ni inchi ya kukaa kwa password sana hasa ukiwa mweusi more worse ukitokea africa , Tabia za black americans zimeacha doa kwa watu weusi wote ,

Blacks wameshakuwa lebeled mabaya kwenye mind set za wazungu kwan wanawaona ni watu wa vurugu ,wezi na hizi mind set zinarithishwa kizazi kwa kizazi mzungu anamuona mweusi ni tishio kwa usalama wake na mweusi anamuona mzungu mnyonyaji ,adui yake, na mtu aliememfanya awe chini.

yani hapo ukichanganya na ubaguzi ni chuki mwanzo mwisho , ishakuwa shooting range sasa hazipiti wiki mbili watu wanamiminiana njugu ,No wonder civil ikarudi tena na hivi wanavyopeana bunduki kama pipi ngoja tuone mwisho wao.
 
Mzeee ana stress huyo!
Labda alikuwa anacheki movie ya mazombi, mara gafla anaona anagongewa mlango na kiumbe hakielewi elewi,
Ikabidi ajitetee...
 
Mjukuu wake anasema kuangalia sana habari za conspiracy za conservatives kumemuathiri sana babu yake pakubwa kiakili.
Mzeee ana stress huyo!
Labda alikuwa anacheki movie ya mazombi, mara gafla anaona anagongewa mlango na kiumbe hakielewi elewi,
Ikabidi ajitetee...
 
Back
Top Bottom