A normal day in America ........ US ni Hii inchi ya fursa pia ni inchi hatari zaidi kuishi dunian kwa wakati mmoja, Ni inchi ya kukaa kwa password sana hasa ukiwa mweusi more worse ukitokea africa , Tabia za black americans zimeacha doa kwa watu weusi wote ,
Blacks wameshakuwa lebeled mabaya kwenye mind set za wazungu kwan wanawaona ni watu wa vurugu ,wezi na hizi mind set zinarithishwa kizazi kwa kizazi mzungu anamuona mweusi ni tishio kwa usalama wake na mweusi anamuona mzungu mnyonyaji ,adui yake, na mtu aliememfanya awe chini.
yani hapo ukichanganya na ubaguzi ni chuki mwanzo mwisho , ishakuwa shooting range sasa hazipiti wiki mbili watu wanamiminiana njugu ,No wonder civil ikarudi tena na hivi wanavyopeana bunduki kama pipi ngoja tuone mwisho wao.