Marekani: Aua familia nzima kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka

Marekani: Aua familia nzima kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka

Mwanamume mwenye umri wa miaka 42 katika Jimbo la Utah nchini Marekani amewapiga risasi watu saba wa familia yake kabla ya kujiua mwenyewe, baada ya mkewe kudai talaka.
Ukizungumzia Marekani unazungumzia kuwezekana kwa kila lisilowezekana
 
Tatizo wanaharakati wakishamezeshwa msemo wa Future is Female and Female is Future mwanaume umekwisha unamtafuta pusha nipatie boksi mbili za puya nyonga washa vuta unajilipua where is my gun puu puu puu, depression is real
 
Mwanamke kosa lake ni lipi? Kama aliona hawawezani tena ilikua haki yake kuomba talaka. Jamaa yake ndio zuzu asiekubali kuachwa kaishia kuua watu wasio na hatia bora angejiua mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna utaratibu wa kudai haki yako hata mahakamani hueleweka vizuri tu, kama hujasikiliza upande wa pili namna ya madai ya hiyo talaka ilivyofanyika ni heri usihukumu kabisa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke kosa lake ni lipi? Kama aliona hawawezani tena ilikua haki yake kuomba talaka. Jamaa yake ndio zuzu asiekubali kuachwa kaishia kuua watu wasio na hatia bora angejiua mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnazingua wanawake, jamaa aliachishwa kazi demu ndo anataka kumtema, hapo inabidi alipe child support ya hao watoto 4 till they are 18, na nyumba atapoteza. Sio kwamba naunga mkono kitu alicho Fanya Ila naelewa alichokuwa anapitia. Mama mkwe nae jegeje lilimuhusu
 
Sheria zao za kumiliki silaha zitawaghalimu maisha
Ni mchanganyiko wa sheria mbovu za umiliki wa silaha kiholela na sheria mbovu za ugawanaji wa mali baada ya talaka zinazopendelea wanawake zaidi. Sidhani kama huyo jamaa alitaka ajiue lakini sheria za ugawanyaji wa mali baada ya talaka ndizo zimemfanya aone kama hakuna haja ya kuendelea kuishi tena baada kujua kuwa atapoteza nusu kile alichokuwa amechuma kwa mke ambaye huenda hakuwa anampa ushirikiano wowote katika kuchuma mali hiyo.
 
Mnazingua wanawake, jamaa aliachishwa kazi demu ndo anataka kumtema, hapo inabidi alipe child support ya hao watoto 4 till they are 18, na nyumba atapoteza. Sio kwamba naunga mkono kitu alicho Fanya Ila naelewa alichokuwa anapitia. Mama mkwe nae jegeje lilimuhusu
Kwani wanaume nyie ndio hamzingui? Hayo uliyoandika mtoa mada hajaandika. Nilicomment kutokana na mada ilivyoletwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgogoro wa mda mrefu wa ndoa hatimaye kikomo chake kimeisha Vibaya.
 
Back
Top Bottom