Marekani: Aua familia nzima kwa risasi baada ya mkewe kudai talaka

Mwanamke umeshamzalisha watoto watano na anadai talaka si unampa tu hana jipya unatafuta mtoto wa kukufanyia masaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ulaya au marekani ukiachana na mke tena mshashazaa watoto wengi ivyoo aisee ni kisanga kwako mwanaume child supports yake si ya kitoto ndyo maana wengi wanapata msongo wa mawazo apo unakuta kazi anayo ya kuungaunga au kaachishwa atakama unayoo mshaara mkubwa utaenda kwa watoto
 
Mwanamke umeshamzalisha watoto watano na anadai talaka si unampa tu hana jipya unatafuta mtoto wa kukufanyia masaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
America ukiachana na mwanamke tu nusu ya mshahara wako anakuwa anachukua yeye hapo Hanna hats mtoto mumoja. Ukioa mwingine nae mkaachana basi naye anachukua nusu ya nusu ya ile ya kwanza. Hivyo we unabaki na robo. Ukioa mwingine nae mkaachana atakuwa anachukua nusu ya ile robo hivyo we unabaki unapokea moja ya nane

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom