Mkuu ulaya au marekani ukiachana na mke tena mshashazaa watoto wengi ivyoo aisee ni kisanga kwako mwanaume child supports yake si ya kitoto ndyo maana wengi wanapata msongo wa mawazo apo unakuta kazi anayo ya kuungaunga au kaachishwa atakama unayoo mshaara mkubwa utaenda kwa watoto
America ukiachana na mwanamke tu nusu ya mshahara wako anakuwa anachukua yeye hapo Hanna hats mtoto mumoja. Ukioa mwingine nae mkaachana basi naye anachukua nusu ya nusu ya ile ya kwanza. Hivyo we unabaki na robo. Ukioa mwingine nae mkaachana atakuwa anachukua nusu ya ile robo hivyo we unabaki unapokea moja ya nane