Na wao wanawapiga na al shabab wao bila hata nyie kujua
Yah! America loves us... we're brothers and sisters!!Kwa hiyo mnajivunia?
Mimi hata nikikaa na Wakenya huwa nawaambia wawaambie Vionhozi wao (Dumb Leaders) waondoe Wanajeshi wao Somalia, wajitoe kwenye Huo mchezo wa Kuzungukwa na US na Saudia
Hebu tuelewane. Kenya iliingia Somalia kimabavu, bila ya support ya nchi zozote za magharibi, isipokuwa tu vikosi vya AMISOM, chini ya A.U, na nchi za Uganda na Ethiopia. U.S na U.K zilipinga vikali vikosi vya KDF kuingia Somalia. Kumbukumbu ya mgogoro huo ipo. Punguzeni pumba. FYI, siungi mkono uwepo wa kambi ya U.S Army Kenya. U.K au nchi yeyote nyingine sawa, U.S ni watu wa kuvuruga tu.Walitaka kuweka military base yao zanzibar lakini tulikataa
Let me ask you a question, what was the focal point of alshabab killings in Kenya? The tragedy came after US forced you to wage the planned war against so called terrorism from Somalia which mostly was because of the Somalian pirates and oil issues.
This is cowardness of next level, even an animal can't drop to this coward level.Afrika hatuna jeuri za kujiita ally wala nini, ukizingatia hata makombora tunanunua kutoka kwao, angalia nchi zenye uwezo wa kutunisha misuli, kwa mfano Iran na Korea Kaskazni, wao wana viwanda vya kujitengezea makombora. Sisi tunaagiza kila aina ya zana za kivita. Hamna chochote kinachouniwa huku Afrika, hata simu anayotumia Magufuli wenu kule ikulu imeagizwa kutoka kwa hawa jamaa, mifumo yote ya mawasiliano, anachosema hata kwa siri anatumia vyombo vyao....hehehe
Vifaa tunavyonunua kutoka kwao huwa vya kutishia nyau wenzetu Afrika lakini sio wale, au unajidanganya hizo ndege chache za JWTZ zinaweza kumkuna sehemu yoyote Mmarekani akiamua kutembeza kibano Tanzania. Yaani ndege moja ya kisasa ya Marekani imetosha kuwapiga kichapo jeshi lenu na mshindwe kuidungua, itakua inashusha mabomu kwenu na kurudi kwenye aircraft carrier kuongeza mafuta na makombora na kurudi kuendeleza kichapo.
Kwa hivyo kupiga makelele eti hatutaki waweke hayo mavitu yao kwetu ni ujuha, wayalete tu.....hizo drones.
Mbona mna wasiwasi na nchi ni yetu? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawakawii hawa kuanza kuchonganisha raia na serikali zao ili muanze kutwangana hawa ndio magu anawaita MABEBERU . Shenz
Kujua tatizo ni nusu ya kulitatuaWanaiandaa kwaajili ya kuingia Tz kimkakati kwa visingizio vya kuwasaidia wananchi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu na udictator
Naona povu jingi sana humu! duh, mbona na mossad toka israel huwa wapo nchini siku nyingi tu, aman na shinbet.
Hawa hapa ni yamas unit , chini ya mossad, close quarters engagements na counter terrorism ndo mambo yao.View attachment 987490View attachment 987491View attachment 987492View attachment 987493
Sent using Jamii Forums mobile app
mlipuko wa tom hawark moja unaweza kuteketeza jengo la darasa moja tu kumbuka syria mwaka jana kapigwa tomhawark120 lkn jengo moja tu ndio liliteketeaNi
ni kweli aliniambia jamaa yangu ni mjeshi israel idf sayeret matikal kwamba tomhwk moja inaweza kupiga vyema military base zote bongo na isifanywe chuchote yani noma sana
tz hakuna kambi ya kigeni ispokuwa urussi,china,misry,bulgaria na algeria huwa wanakuja kupiga tizi na kusepa
duh sasa ulitaka wakwambie wanachokifanya nje ya hayo mnayoyajua nyie?Hio kambi ya Manda bay iko ndani ya Kambi ya KDF... Yani unaingia gate ya Kambi ya Kenya Navy alafu ukifika ndani ndo kuna gate nyengine ya hao wamarekani, hio kambi sio operational base, ni Kambi Tu ya kutrain... Mojawepo ya training ya KDF special forces hufanyika hapo, kule side za Isiolo huwa wanafanya desert training alafu hapo Manda bay wanafanya training ya sea na underwater operations...
Hao wanajeshi wa Marekani hawana ruhusa ya kutoka nje na kuzurura wala hawana ruhusa ya kupigana na alshabaab hata wawe kilomita tano nje ya hio kambi, na pia hawana ruhusa ya Ku launch active operation kutoka hapo Manda bay kwenda Somalia wala nchi nyengine... kazi waliyonayo hapo ni "Train and advice" ...
Ni juzi kati tuu tumemaliza mazoezi hataree na mpakistani[emoji123] [emoji91] [emoji122] hii kazi ya ulinzi sio ya mchezo mchezo![emoji3]Hawa ni badass mofos yaani kaa mbali nao, endelea kuleta mapicha bro...
Alafu mkuu sijui kama umewahi kukipata hiki kitabu alichoandika mwana jf mwenzetu humu yericko nyerere, kipo very insightful on these issues[emoji116]Hawa ni badass mofos yaani kaa mbali nao, endelea kuleta mapicha bro...