Hatari, mda huu kuna jamaa anatangaza apartment uko kitunda wauni washaanza kutupia picha za warembo kwenye uzi. Tuko bien!Ila sisi nao ni shida, miaka 10, ongezeko million 10. Nchi inatajwa kuwa imo kwenye orodha ya wanaojua na kuongoza kuzaana duniani.
Yes, safi kabisa huku tunadanganyana tuMiaka 37 ana mjukuu!!!
LipiYapo
Sasa sijui hapa tulikuwa tunajivuna au tunajisikitikia hata sielewi
Wazungu wengi tu wamenyongwa kwa mauaji US,Fatilia kuhusu Timothy Mcveigh na wengineoHivi wapewa adhabu ya kifo ndani ya Marekani huwa ni watu weusi tu?
Kivipi Mkuu? Au kwa sababu ya kunyonga? If that is the case, unayajua mataifa vinara wa kunyonga duniani?Marekani ni taifa la kishetani
Umempa za uso; kuna kihoja alitaka kujenga bahati mbaya kimemponyoka.Wazungu wengi tu wamenyongwa kwa mauaji US,Fatilia kuhusu Timothy Mcveigh na wengineo
Na age ya mama yake haijawekwa unaweza shangaa alimzaa at 16. Ma-Nigger ndo zao.Naye alimzaa binti huyo akiwa na miaka 18.
Unaweza kupata picha, hiyo ni familia ya aina gani!?
Na age ya mama yake haijawekwa unaweza shangaa alimzaa at 16. Ma-Nigger ndo zao.
Bibi yako alimzaa baba yako akiwa na umri gani!?Na hapo amekaa jela miaka rundo,angekuwa mtaani huyu si angekuwa na wajukuu angalau 20 kwa sasa? Civilization ya wamarekani weusi si tofauti na ya waswahili wa msanga ngongele,msichana wa miaka chini ya 20 kuwa mama ni kukosa ustaarabu
Miaka 37 ana mjukuu!!!
Na ndio maana wakiingia kwenye 18 za polisi, to cut the story short huwa wanamalizana nao kwenye tukio. Halafu wanaishia kulialia wanaonewa na kwa bahati nzuri (?) wamepata wafuasi lukuki Africa kutokana propaganda zao mfu za kuonewa.Ukiona hivyo, ujue ni jamii ya hovyo sana.