Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,555
- 2,216
Hatari, mda huu kuna jamaa anatangaza apartment uko kitunda wauni washaanza kutupia picha za warembo kwenye uzi. Tuko bien!Ila sisi nao ni shida, miaka 10, ongezeko million 10. Nchi inatajwa kuwa imo kwenye orodha ya wanaojua na kuongoza kuzaana duniani.