Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Na hapo amekaa jela miaka rundo,angekuwa mtaani huyu si angekuwa na wajukuu angalau 20 kwa sasa? Civilization ya wamarekani weusi si tofauti na ya waswahili wa msanga ngongele,msichana wa miaka chini ya 20 kuwa mama ni kukosa ustaarabu
Bibi yako alimzaa baba yako akiwa na umri gani!?
 
Ukiona hivyo, ujue ni jamii ya hovyo sana.
Na ndio maana wakiingia kwenye 18 za polisi, to cut the story short huwa wanamalizana nao kwenye tukio. Halafu wanaishia kulialia wanaonewa na kwa bahati nzuri (?) wamepata wafuasi lukuki Africa kutokana propaganda zao mfu za kuonewa.
 
Ajabu wengine wakiua (adhabu za kifo) wanakaliwa kooni na haki za binadamu tena vinara wa waki za binadamu wakiwa haohao Marekani na Ulaya
 
Back
Top Bottom