Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Marekani ni taifa la kishetani
aliyeua lazima na yeye aonje mauti, hata kipindi cha Torati watu wezi, wazinzi walipigwa mawe hadi kifo. So sioni cha ajabu hapo - wacheni ale kamba.
 
Fanya research wako wengi tu wazungu walio kwenye death row na wengine washauawa. Wengi tu mfano wa mmoja maarufu ni timothy mcveigh
Ndipo nilipoisikia Oklahoma kwa Mara ya kwanza na tukio la jamaa kulipua kituo cha watoto.
 
aliyeua lazima na yeye aonje mauti, hata kipindi cha Torati watu wezi, wazinzi walipigwa mawe hadi kifo. So sioni cha ajabu hapo - wacheni ale kamba.
Mmarekani wa Buza haupitwi na jambo😅
 
Fanya research wako wengi tu wazungu walio kwenye death row na wengine washauawa. Wengi tu mfano wa mmoja maarufu ni timothy mcveigh
Yule Askari aliyemuua black fulani ivi majuzi akamuingiza kichwa kwa uvungu wa gari vipi kesi yake je
 
Yule Askari aliyemuua black fulani ivi majuzi akamuingiza kichwa kwa uvungu wa gari vipi kesi yake je
Sijajua kuhusu huyo.
OJ alimuua ex mkewe mzungu na bwanake and got away with it.
 
Umenikumbusha Kitabu cha English cha Musa,Neema na Baraka darasa la tatu
 
Usihukumu mamlaka ya kuhukumu anayo mungu vinara wakusema maneno haya nawaona hapa wanavoizungumzia vyema azabu hii ya kifo lakini tukisema na mashoga yauwawe utawasikia wanavimbaa mpaka ulimi kwa kusema usihukumu
 
Mimi mwenyewe huwa nashangaa mkuu linchi la hovyo sana hilo
Ha ha ha ha.
Ukistaajabu ya Musa utashangaa ya Iran
Iran wamemuua mwenzao kwasababu hajafunika kichwa.
 
Yule Askari aliyemuua black fulani ivi majuzi akamuingiza kichwa kwa uvungu wa gari vipi kesi yake je
... kesi za aina hii huchukua muda mrefu; Mungu akikupa uhai fuatilia baada ya miaka angalau 15 kama na yeye atakuwa hai utajua hatma yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…