Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Nzuri sanaHata hapa hapa Dsm kuna watu wana watoto na wajukuu at 35
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzuri sanaHata hapa hapa Dsm kuna watu wana watoto na wajukuu at 35
aliyeua lazima na yeye aonje mauti, hata kipindi cha Torati watu wezi, wazinzi walipigwa mawe hadi kifo. So sioni cha ajabu hapo - wacheni ale kamba.Marekani ni taifa la kishetani
Ndipo nilipoisikia Oklahoma kwa Mara ya kwanza na tukio la jamaa kulipua kituo cha watoto.Fanya research wako wengi tu wazungu walio kwenye death row na wengine washauawa. Wengi tu mfano wa mmoja maarufu ni timothy mcveigh
Mmarekani wa Buza haupitwi na jambo😅aliyeua lazima na yeye aonje mauti, hata kipindi cha Torati watu wezi, wazinzi walipigwa mawe hadi kifo. So sioni cha ajabu hapo - wacheni ale kamba.
Yule Askari aliyemuua black fulani ivi majuzi akamuingiza kichwa kwa uvungu wa gari vipi kesi yake jeFanya research wako wengi tu wazungu walio kwenye death row na wengine washauawa. Wengi tu mfano wa mmoja maarufu ni timothy mcveigh
Huwa nasikia sheria kwa black Americans ziko tofautiWote, ila kuna kaubaguzi fulani hivi kwa black people.
Omba yasikukute,sio wote wanaokwenda jela wana hatiaHata Tanzania hii sheria ianze kazi
Sijajua kuhusu huyo.Yule Askari aliyemuua black fulani ivi majuzi akamuingiza kichwa kwa uvungu wa gari vipi kesi yake je
kule Buza kuna Warusi tu.Mmarekani wa Buza haupitwi na jambo😅
Umenikumbusha Kitabu cha English cha Musa,Neema na Baraka darasa la tatuThe messge behind this story is just to inform the world about the death sentences that are carried out in the world, that sometimes are againsts the human rights. But we as human beings we get lesson here that we must live in this World to obey and please God and to stay away from bad habits and risk factors that can endanger our life or affect us like not to do bad things to others like killing, oppressing like what kelvin johnson did becoz what goes around comes around.
Yeah, bwana Kevin ameumaliza mwendo.. Inauma sana lakini hakuna jinsi.Wameshamuua aisee.![]()
Man who murdered police officer in 2005 has been executed in Missouri | CNN
Kevin Johnson -- a death row inmate who was convicted in the 2005 murder of a Kirkwood, Missouri, police officer but claimed racial bias in his prosecution -- was executed Tuesday night by lethal injection.www.google.com
Na wale askari waliyemuua mwanamke kisa hajafunika kichwa?Marekani ni taifa la kishetani
Ha ha ha ha.Mimi mwenyewe huwa nashangaa mkuu linchi la hovyo sana hilo
Hapo unaongelea Iran na siyo hayo mataifa ya rainbow flagNa wale askari waliyemuua mwanamke kisa hajafunika kichwa?
Ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga
... kesi za aina hii huchukua muda mrefu; Mungu akikupa uhai fuatilia baada ya miaka angalau 15 kama na yeye atakuwa hai utajua hatma yake.Yule Askari aliyemuua black fulani ivi majuzi akamuingiza kichwa kwa uvungu wa gari vipi kesi yake je