Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

Fanya research wako wengi tu wazungu walio kwenye death row na wengine washauawa. Wengi tu mfano wa mmoja maarufu ni timothy mcveigh
Huyu kama sijasahau ndiye alaiyelipua ile Oklahoma bomb.
 
Na ndio maana wakiingia kwenye 18 za polisi, to cut the story short huwa wanamalizana nao kwenye tukio. Halafu wanaishia kulialia wanaonewa na kwa bahati nzuri (?) wamepata wafuasi lukuki Africa kutokana propaganda zao mfu za kuonewa.

Kama mtu hujiheshimu, hamna atakaye kuheshimu.
Kama mtu hujithamini, hakuna atakaye kuthamini.
Kama mtu hujiamini, hakuna yeyote atakayekuamini.
Kama mtu hujipendi, hakuna yeyote atakaye kupenda.
Kama mtu hutumii uwezo wako wa kufikiri vizuri, hakuna mtu atakaye kufikiria vizuri.
Kama mtu huna mtazamo mzuri kuelekea wengine, hakuna yeyote atakayekuwa na mtazamo mzuri kukuelekea.
Kama huwafurahii wengine, basi hakuna yeyote atakaye kufurahia.

Hizo ni chache kati ya kanuni nyingi za maisha.

Sasa wenzetu wale wameathirika kwa kiasi kikubwa sana na mambo haya.
 
Kwa taarifa tu nilizopokea mpaka leo hii alfajiri ni kwamba bwana Kelvin Johnson atachomwa sindano ya sumu badala ya kunyongwa hapo kesho. Ikumbukwe kuwa Lethal injection ndio adhabu maarufu sana ikitokea victim hakychagua aina ya kifo anachotaka.
Sindano ya sumu huwa inakuwa ni combination ya aina tatu mpk nne za kemikali sumu ambazo hufanya kazi taratibu kwa kupoozesha mwili na mfumo wa fahamu, kufelisha viungo ktk ufanyaji kazi wake na mwisho kusimamisha mapigo ya moyo.
 
Sindano ya sumu atakayochomwa bwana Kelvin haina utofauti sana na zile sindano za sumu wanazochomwa wagonjwa wanaotaka kufa kwa hiari baada ya kuteseka kwa muda mrefu(Euthanasia) ama kifo cha huruma. May God rest his soul in eternal peace. Amen
 
Kwa taarifa tu nilizopokea mpaka leo hii alfajiri ni kwamba bwana Kelvin Johnson atachomwa sindano ya sumu badala ya kunyongwa hapo kesho. Ikumbukwe kuwa Lethal injection ndio adhabu maarufu sana ikitokea victim hakychagua aina ya kifo anachotaka.
Sindano ya sumu huwa inakuwa ni combination ya aina tatu mpk nne za kemikali sumu ambazo hufanya kazi taratibu kwa kupoozesha mwili na mfumo wa fahamu, kufelisha viungo ktk ufanyaji kazi wake na mwisho kusimamisha mapigo ya moyo.
Hivi anakua yuko katika hali gani kwa sasa anajua kabisa kuwa kesho alfajiri anatakiwa kuuwawa?
 
Hivi anakua yuko katika hali gani kwa sasa anajua kabisa kuwa kesho alfajiri anatakiwa kuuwawa?
Ningumu ila ni kukubali matokeo, leo hii ukiambiwa una terminal disease utajisikiaje? ndivyo hivyo. Ni kukubali matokeo, kifo sawa kulala fofofoo. Msala kwa waliobaki duniani.
 
Hivi anakua yuko katika hali gani kwa sasa anajua kabisa kuwa kesho alfajiri anatakiwa kuuwawa?
We acha tu ndugu yangu, yaani imapofika kipindi hiki mhusika anaka ta tamaa kabisa. Kuna wengine wanalia, kujuta na kutaka wasamehewe lakini ndio basi tena. Wengine wanakataa kabisa aina ya adhabu wanayotaka, wanakataa aina ya chakula kile wanachotakiwa kula kabla ya kufa au hata ndugu wale wanaoshuhudia wengine huwa hawataki, yaani kiufupi huwa wanakuwa wanyonge na wasio na tumaini tena.
 
Back
Top Bottom