Kiranja junior
Member
- Sep 26, 2022
- 77
- 92
Baba alizaa akiwa na miaka 20 na binti akazaa akiwa na miaka 17Miaka 37 ana mjukuu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba alizaa akiwa na miaka 20 na binti akazaa akiwa na miaka 17Miaka 37 ana mjukuu!!!
Hata juzi kati tu hapa kuna mama wa kizungu anaitwa Lisa Montgomery kala kitanzi.Fanya research wako wengi tu wazungu walio kwenye death row na wengine washauawa. Wengi tu mfano wa mmoja maarufu ni timothy mcveigh
Kuna jamaa yangu yuko huko bariadi,at his 34 years tayari ana mjukuu.Miaka 37 ana mjukuu!!!
AkaangalieKivipi Mkuu? Au kwa sababu ya kunyonga? If that is the case, unayajua mataifa vinara wa kunyonga duniani?
Hata hapa hapa Dsm kuna watu wana watoto na wajukuu at 35Hata bongo wapo wengi sana usukumani huko ama vijijini.
Miaka 37 sio age ndogo
Subiri sasa povu la wamarekani weusi wa Nzega.Marekani ni taifa la kishetani
Huyu kama sijasahau ndiye alaiyelipua ile Oklahoma bomb.Fanya research wako wengi tu wazungu walio kwenye death row na wengine washauawa. Wengi tu mfano wa mmoja maarufu ni timothy mcveigh
Huyo mashine yake ina booster siyo bureKuna jamaa yangu yuko huko bariadi,at his 34 years tayari ana mjukuu.
Na ndio maana wakiingia kwenye 18 za polisi, to cut the story short huwa wanamalizana nao kwenye tukio. Halafu wanaishia kulialia wanaonewa na kwa bahati nzuri (?) wamepata wafuasi lukuki Africa kutokana propaganda zao mfu za kuonewa.
Yeye mwenyewe kaenda jela akiwa na 19 na alimuacha binti at 2. Umeerewa harooo au umerewa.Miaka 37 ana mjukuu!!!
Hivi anakua yuko katika hali gani kwa sasa anajua kabisa kuwa kesho alfajiri anatakiwa kuuwawa?Kwa taarifa tu nilizopokea mpaka leo hii alfajiri ni kwamba bwana Kelvin Johnson atachomwa sindano ya sumu badala ya kunyongwa hapo kesho. Ikumbukwe kuwa Lethal injection ndio adhabu maarufu sana ikitokea victim hakychagua aina ya kifo anachotaka.
Sindano ya sumu huwa inakuwa ni combination ya aina tatu mpk nne za kemikali sumu ambazo hufanya kazi taratibu kwa kupoozesha mwili na mfumo wa fahamu, kufelisha viungo ktk ufanyaji kazi wake na mwisho kusimamisha mapigo ya moyo.
Katika kitu nilicho note wakati naanza kusoma hii story, ilikuwa kuhusu huyu bwana kuwa na mjukuu.Miaka 37 ana mjukuu!!!
Kuliko lipi??? Je huko Middle east je? hata hapa TZ, adhabu hii ipo. Je anaenyongwa alitenda kweli kosa hili hiyo ndio hoja hapa.Marekani ni taifa la kishetani
Ningumu ila ni kukubali matokeo, leo hii ukiambiwa una terminal disease utajisikiaje? ndivyo hivyo. Ni kukubali matokeo, kifo sawa kulala fofofoo. Msala kwa waliobaki duniani.Hivi anakua yuko katika hali gani kwa sasa anajua kabisa kuwa kesho alfajiri anatakiwa kuuwawa?
🤣Katika kitu nilicho note wakati naanza kusoma hii story, ilikuwa kuhusu huyu bwana kuwa na mjukuu.
We acha tu ndugu yangu, yaani imapofika kipindi hiki mhusika anaka ta tamaa kabisa. Kuna wengine wanalia, kujuta na kutaka wasamehewe lakini ndio basi tena. Wengine wanakataa kabisa aina ya adhabu wanayotaka, wanakataa aina ya chakula kile wanachotakiwa kula kabla ya kufa au hata ndugu wale wanaoshuhudia wengine huwa hawataki, yaani kiufupi huwa wanakuwa wanyonge na wasio na tumaini tena.Hivi anakua yuko katika hali gani kwa sasa anajua kabisa kuwa kesho alfajiri anatakiwa kuuwawa?
Mfano!!!???Yapo