Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Mkuu Nyani Ngabu hizo risasi zilizo makosa Trump mbona hazikuwa umiza watu waliokuwa mkutanoni na ukiangalia alivyokuwa amesimama kwa kugeuka imekuwaje aumie sikio la kulia tu .


USSR
Unaumiza sana akili ku-over think ili kuengeneza kisichopo. Get back to basics and common sense my friend...
That was not a setup but a genuine assassinstion attempt, it just the naivity of the shooter that kept Tramp alive...
A slow reaction by secreat service even after being alerted by some member of the public about the shooter climbiing with the rifle at the top of a barn is the result of business as ususal, but this was not a setup...
 
Nadhani wanaziamini hizo tactics zao nyingine.

Sina hakika sana lakini nadhani Marekani ndo nchi inayoongoza kwa kuwa na marais wengi ambao wameuwawa!

Kuanzia 1865 mpaka leo hii.

Secret service wana uzoefu sana na hizi assasinations.

Hata Israel huwa inapeleka watu wake kufunzwa na Secret service namna ya kuwalinda viongozi.

Kama unakumbuka, 1995 Yitzhak Rabin aliuliwa.

Baada ya hapo Israel ikapeleka agents wa Shin Bet kuwa trained na secret service.
Pia mwaka 2016 mwezi June, huyu dogo Michael Sandford raia wa Uingereza, almanusura am shoot Trump kwenye rally pale Las Vegas baada ya kuipokonya gun kutoka kwa LVMPD
IMG_2361.jpeg


IMG_2364.jpeg
IMG_2363.jpeg
IMG_2362.jpeg
 
Kwamba shooter alikuwa anaenda vitani mpaka ashike heavy guns, ambazo kwa USA ni prohibited pia.
Heavy guns (Rifles) ww unajua ni zipi..? Tuanzie hapo.. au umekariri RPG na madude mengine mnayoona ktk movie za Rambo 😅
 
TRUMP:
Anapinga ushoga

Anapinga Vita inayoendelea Ukraine

Anaongoza kwa ushawishi zaidi ya Biden kwa wapiga kura wao

Hapendelei Sana ufadhili wa NATO kwa fedha za malekani (equal sharing kwa kila mwanachama)

Trump ni muumini was malekani Kwanza sio wahamiaji.

Anaamini viongozi wa Africa/waafrica ni watu wasio jitambua.

Ni muumini mkubwa wa kulinda maslahi ya ISRAEL katika ukanda wa ASIA.
na mengine mengi.

TUMIA LOGIC UNAHISI NI SABABU IPI INAWEZA KUWA IMEPELEKEA TUKIO HILI?

LIWE NI HALISI/LA KUTENGENEZWA KAMA BAADHI MNAVO DHANI?
 
Wasiojulikana wametia timu America.

Trump inabidi aje aombe ushauri kwa Tundu Lissu, ukiwa mpinzani hapa duniani ni shida!!

Marekani nao wanapenda kuiga mambo ya nchi fulani
 
Nafikiri wanajaribu kumtumia ujumbe, wangetaka kumuua wasingeshindwa.
Ujumbe gani wakati mtu mmoja amekufa kwa risasi zilizomkosa Trump!! Mind you aliye shoot ameuwawa sasa una risk maisha yako kisa kutuma ujumbe?

Ni kwamba bunduki ililenga kichwa ila ikasogea pembeni kidogo sababu ya umbali/upepo ndio kilichomuokoa.
 
Hao askari wapo makini sana, professional, skilled.

kuna yule muuaji Dar aliitwa Hamza, askari wa Tz walichokifanya pale kinatia huruma, yani muuaji huyu hapa na hapa jamaa wanamkosa risasi.
Sasa angalia hao secret service walivyofanya kazi chap sana, ingekua bongo hapo askari wangerusha mabomu ya machozi, mara field force wanaingia kuanza kutandika virungu watu, basi ingekua ni tafrani tu na muuaji anatokomea, mnaanza kupigwa search mlangoni ole wako ukutwe na kipisi cha bangi 🤣 utaelezea...
Kwahy tukio linabadilika linakuwa n tukio la bangi 😂
 
Back
Top Bottom