The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Huyu Mzee anajua kukera, na anafanya kazi yake Kwa weledi sana.
Hii picha hata waliopanga shambulizi wakiiangalia lazima wapige salute kimya kimya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mzee anajua kukera, na anafanya kazi yake Kwa weledi sana.
Huyo hakufuzu mafunzo ya FOM FOO.Okay, sawa.
Mtu usiyejua hata tofauti ya ‘r’ na ‘l’ ni vigumu sana kufanya mjadala nawe.
Tunapoelekea ulinzi wa viongozi wengi duniani utakuwa mdogo sana maana maarifa yameongezeka na watu wamebadilika sana mfano tukio kama hili huenda kukawa na watu kadhaa kwenye circle ya ulinzi wamehusikababu unachekesha ati walivyofasta hivi unaujua u fasta wewe..? mtu kapigwa risasi sema tu hakufikia lengo!.. acheni habari za kuwasifia hao washikaji kwa tafsiri yatukio la trump totally walinzi wamechelewa! adui mpaka amepita na siraha aina ya siraha ya moto ni uzembe mkubwa sana!.
US inasifika kwa kuwa na ulinzi mkali ila hapa wameyumba sana na hii imeonyesha ktk medani hizi hakuna mkali popote adui anaweza kuingia,pia rejelea tukia la yule jamaa alieingia ikulu white house mpk kwenye uanda wa kuanza kutaka kuingia vyumbani!!.
ulinzi umeanguka sana!
Nimeipakua hii picha.INSIDE JOB!
View attachment 3041831
Huko kwenye ulinzi wenye weledi mtu anashambuliwaje!Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchi Marekani na Rais wa zamani Donard Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo
Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa siko la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni
Bado hajajulika nani alifyatua risasi ,
Updates
mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.
Bado haujajulikana kuwa damu zinazo tililika kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni
Update
Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.
Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.
Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana ,huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na taifa
Palina
View attachment 3041758View attachment 3041759
View attachment 3041829
View attachment 3041836
Trump rushed off stage at Pennsylvania rally as shots heard
Pennsylvania & London
Secret Service agents have rushed former President Donald Trump off stage after what sounded like gunshots rang out at a rally in Pennsylvania.
Footage showed him grimace and raise a hand to his right ear, before ducking as sharp cracks - apparently shots - broke out.
He was quickly swarmed by secret service agents and rushed off stage to a waiting vehicle. He raised a fist as he was bundled into the car.
In a statement Trump's campaign said he was "fine" and was being "checked out" at a local medical facility.
“President Trump thanks law enforcement and first responders for their quick action during this heinous act,” spokesman Steven Cheung said.
The former president appeared to have blood on his ear as protection officers led him away.
Law enforcement sources later told US media that the male suspect and an audience member were dead.
In a statement, the Secret Service said Trump was safe and that measures for his protection had been implemented.
They added that an active investigation was now under way and that further information would be released when available.
The Republican candidate for president had been addressing his supporters in Butler, Pennsylvania - a crucial swing state in November's election.
Multiple bangs rang out as Trump spoke about his successor, President Joe Biden, and his administration.
Several supporters holding placards and standing behind Trump ducked as the apparent shots were heard.
One witness - Greg - told the BBC that he had spotted a suspicious-looking person "bear crawling" on a roof about five minutes before Trump started speaking. He said he pointed the person out to police.
"He had a rifle, we could clearly see him with a rifle," he said. "We’re pointing at him, the police are down there running around on the ground – we’re like ‘hey man there’s a guy on the roof with a rifle’ and the police did not know what was going on."
Another witness, Jason, told the BBC that he heard five shots, which went off in quick succession.
“We see the Secret Service jump on Trump to protect him. Everyone in the crowd dropped down very quickly," he said.
“He shortly thereafter stood up and put his fist up in the air, said a couple of things."
Tim - who was also at the rally - told the BBC that he had heard a "barrage" of shots.
"There was a spray which we initially thought was a fire hose, and then the speaker on the right-hand side started coming down," he said.
"Something must have hit the hydraulic lines [which caused it to fall]. We saw President Trump go to the ground and everyone started dropping to the ground because it was chaos."
In a written statement, President Biden said he was "grateful to hear" that Trump was "safe and doing well".
"There’s no place for this kind of violence in America," he added. "We must unite as one nation to condemn it."
Politicians of both parties joined Mr Biden in condemning the apparent attack.
Former President Barack Obama said there "is absolutely no place for political violence in our democracy" and that he was "relieved that former President Trump wasn’t seriously hurt".
Trump's Vice-President Mike Pence said he and his wife were praying for his former ally, adding that he urged "every American to join us".
And House Minority Leader Hakeem Jeffries said in a statement: “My thoughts and prayers are with former President Trump. I am thankful for the decisive law enforcement response. America is a democracy. Political violence of any kind is never acceptable.”
But wamejitahidi piaTunapoelekea ulinzi wa viongozi wengi duniani utakuwa mdogo sana maana maarifa yameongezeka na watu wamebadilika sana mfano tukio kama hili huenda kukawa na watu kadhaa kwenye circle ya ulinzi wamehusika
Ni kweli kabisa secret service wamechelewa mno kufika kama sio Juhudi za trump mwenyewe kuinama huenda angekula risasi au kama muuaji angetumia kilipuzi kikubwa zaidi huenda madhara yangekuwa makubwa
Lakini namna ameondoka ilikuwa kama wanafanya jaribio la kuokoa mbishi hata kuinama ndani ya shield ye anatoa mkono awe che Guevara
Marekani Marais 4 walikufa kwa kupigwa risasi, Marais kuanziab Regan mpaka Obama mwenyewe 2011 alikoswa koswa risasi Leo unashangaa risas marekani.Aibu sana kwa marekani aisee
Sio Mbowe tena?Trump Rais ajaye
Unazingua sana yaani!Hao askari wapo makini sana, professional, skilled.
kuna yule muuaji Dar aliitwa Hamza, askari wa Tz walichokifanya pale kinatia huruma, yani muuaji huyu hapa na hapa jamaa wanamkosa risasi.
Sasa angalia hao secret service walivyofanya kazi chap sana, ingekua bongo hapo askari wangerusha mabomu ya machozi, mara field force wanaingia kuanza kutandika virungu watu, basi ingekua ni tafrani tu na muuaji anatokomea, mnaanza kupigwa search mlangoni ole wako ukutwe na kipisi cha bangi 🤣 utaelezea...
Kama iliyomwokoa Madulo wa VenezMarekani hawanaga hiyo miamvuli.
Sijui kwa nini tu!!
Hayo matusi yako wapi unweza kuwa uliambiwa ukweli ukageuza tusiBinadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Ulitaka wafike faster kabla ya risasi? Yaani washindane mbio na risasi? Tafsiri yako kuhusu ulinzi mkali ni ipi? Au kwako ulinzi mkali ni ramli?babu unachekesha ati walivyofasta hivi unaujua u fasta wewe..? mtu kapigwa risasi sema tu hakufikia lengo!.. acheni habari za kuwasifia hao washikaji kwa tafsiri yatukio la trump totally walinzi wamechelewa! adui mpaka amepita na siraha aina ya siraha ya moto ni uzembe mkubwa sana!.
US inasifika kwa kuwa na ulinzi mkali ila hapa wameyumba sana na hii imeonyesha ktk medani hizi hakuna mkali popote adui anaweza kuingia,pia rejelea tukia la yule jamaa alieingia ikulu white house mpk kwenye uanda wa kuanza kutaka kuingia vyumbani!!.
ulinzi umeanguka sana!
Trump aliusema ukweli mchungu kuhusu nchi zetu...a..h..prove him wrong ..Binadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Huyo hakufuzu mafunzo ya FOM FOO.
Alitunukiwa mayai trei zima. FAFAFAAFAFA
Cc: Kapeace Extrovert mshamba_mwingine Poor Brain
Sidhani kama alitutukana.Binadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Sidhani kama ni Democrats, its the Military Industrial complex.Hawawezi kumshinda kwa kura!
Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.
Sasa wanataka kumuua!
Democraps.
Ukweli ni kwamba hakuna muafrika aliyemchukia Trump sababu ya kauli zake za ukweli kuhusus waafrikaBinadamu ni mnafiki sana aseeh. Huyu Trump aliyewatukana wa Africa ikawa asilimia kubwa ya watu hawampendi na kumtolea maneno ya shombo kibao. Leo watu wanampenda na kumuombea arudi tena madarakani.
Chadema wao wanasemaje? Au ni CCM wamehusika? 😆😆😆😆😆😆Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchi Marekani na Rais wa zamani Donard Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo