Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Kuna mdau nimeona hapo juu amezungumzia jaribio hili Kwa D. Trump Kwa tafsiri mbili.

Moja, anasema huenda ni Planned ili kumuongezea Mileage za kiSiasa Bwana D. Trump

Pili, anasema huenda umetumwa Ujumbe kwamba Wamarekani hawamtaki ashinde kwenye huu Uchaguzi na anatakiwa ajitoe mara moja kushiriki vinginevyo watamuondoa kupitia Kifo.

Ukitafakari hizo sababu mbili ni kama Zina Mashiko, japo sababu ya Kwanza ni kama ina Mashiko zaidi.

Huenda Kwa tukio hili D. Trump anaweza kuongeza kura nyingi za huruma kutoka Kwa Wamarekani wengi huku wengi wakiongeza chuki Kwa Rais aliyepo madarakani kwamba huenda amehusika kwenye hilo jaribio.

All in all tusubiri taarifa kamili ya uchunguzi wa tukio hili zima.
 
Lissu system tactics, kujipiga risasi!,
N. B, Mlenga shabaha mwenye good lensed gun anaweza kukosea na kumkosa tuwe seriously!, mlengaji ametaka kuligusa sikio tu litoe damu!
 
Wakati wa Trump hakukua na Vita za kisengesenge alipoingia huyo Babu yako Ukoo wa Bush na Obama wakakinga ndoo ya Damu sasa Palestine damu zinamwagika Ukraine damu zinamwagika
[/QUOT
Wakati wa Trump hakukua na Vita za kisengesenge alipoingia huyo Babu yako Ukoo wa Bush na Obama wakakinga ndoo ya Damu sasa Palestine damu zinamwagika Ukraine damu zinamwagika
Mkuu sera nje ya Marekani haibadiriki kama huku, Biden amesaidia mengi kuliko Trump.
 
Mimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!

Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.

Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.

Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.

Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?

Haya mambo yakifanywa na CCM unawezakutolea maelezo lakini yanapofanyika US inatafakarisha sana.

Hii inaashiria zoezi zima la uchaguzi litaghubikwa na mizengwe sana.
 
Back
Top Bottom