Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Shooter hakuwa ndani ya ''uwanja'', alikuwa nje kwenye ' rooftop'Shooter kauliwa na Secret Service!
Ila sijui aliwezaje kuvuka rings of protection maana ulinzi wa Trump uko tofauti kidogo na ulinzi wa marais wengine wa zamani.
swali ni kwamba katika maeneo yanayoangaliwa sana ni 'rooftops' za majengo, kwanini secret service hawakuliona hilo. Shooter alitaka kufanya ile ya JF Kennedy.
Nawasoma wachangiaji na kuwatahadhrisha siasa za Marekani si rahisi kihivyo.
Kesho mnaweza kuamka na habari tofauti. Wekeni akiba ya maneno. Ngoja nitulie kwanza