Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

babu unachekesha ati walivyofasta hivi unaujua u fasta wewe..? mtu kapigwa risasi sema tu hakufikia lengo!.. acheni habari za kuwasifia hao washikaji kwa tafsiri yatukio la trump totally walinzi wamechelewa! adui mpaka amepita na siraha aina ya siraha ya moto ni uzembe mkubwa sana!.

US inasifika kwa kuwa na ulinzi mkali ila hapa wameyumba sana na hii imeonyesha ktk medani hizi hakuna mkali popote adui anaweza kuingia,pia rejelea tukia la yule jamaa alieingia ikulu white house mpk kwenye uanda wa kuanza kutaka kuingia vyumbani!!.

ulinzi umeanguka sana!
Duniani hakuna usalama wa kuzuia kifo chako tusijidanganye.
 
That was huge line of sight

How are secret service agents on duty per action still on work

How can you not survey such an obvious thing and trump doesn't he has his own person security aide

Post days preparatory aide what was them doing eating cheetos ?
 
Ingetokea Tanzania leo mngepiga sana Kelele hapa ila kwa kutokea Marekani mnakodhania ni Paradiso na kwamba huko hakuna Umafia mmenyamaza na mmebaki tu kumpa pole Trump.

Idara zote za Usalama wa Marekani haziwezi kukubali Trump kuwa Rais kwa Kuhofia ukaribu na urafiki wake na Taifa Adui Kijeshi, Kinguvu na Kiusalama kwa sasa la Urusi na Rais Putin.

Trump akiwa Rais tena Idara za Usalama wa Marekani zinahofia anaweza kubadili Sera zao na hasa Mpango wa Kupambana Kijeshi, Kisera na hata Kirasilimali na Urusi hali ambayo inaweza kuipa Nguvu Urusi kwa Kushirikiana na Taifa Adui lingine la China na Kujiimarisha zaidi hali itakayoweza kutishia na hata pengine kuuzidi Ubabe wa Marekani kwa Dunia.

Na hili halitokuwa Jaribio la Kwanza yanaweza yakaja mengineyo na kwa muundo tofauti tofauti ili mradi tu ama Kummaliza kabisa au Kumtishia Usalama wake ili aogope na aachane na nia yake ya kuutaka Urais wa Marekani tena.

Ila kuna uwezekano mkubwa pia hili Tukio likawa ni la Kimkakati ama kwa Mwenyewe Trump kuhusishwa au Watu wa Chama chake Kuutengeneza bila Kumshirikisha ili litokee na litume Ujumbe kwa Wamarekani kuwa hawako Salama, Democrats wanataka Kumuua na pia liwe ni Tukio la Kumbeba zaidi Kiumaarufu Trump, kutengeneza Huruma kwa Wamarekani na litumike kama Turufu Kuu katika Kampeni zake za kuelekea White House tena.

Leo ndiyo mjue kuwa Umafia na Matukio kama haya huwa hayatokei tu Afrika na kwamba hata huko ambako Kutwa tunawasifu wameendelea na wana Demokrasia iliyotukuka na kwenyewe huwa ni hivyo hivyo tu kwani Urais / Madaraka ni Matamu mno hasa ukishayakalia.

Ngoja sasa GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nijiandae zangu kwa Ibada yangu ya Jumapili Kanisa langu Katoliki ili niendelee kupata Baraka na Ulinzi kutoka Kwake Mwenyezi Mungu, Mwana wa pekee Yesu Kristo, Roho Mtakatifu na Malaika wakuu Mikaela na Jibril.

Jumapili Njema nyote.
 
... ndipo TEAM-TRUMP walipopitia!
🤡
 
Ila uhusiano wake na Putin ni janga kwa Dunia Kama akiingia ikulu ya white house na juzi Putin kasema ana mpango wa kuanzisha WW 3 nadhani kakosa company so kwa hili la Trump tuombe Mungu Biden ashinde mengine tuwaachie Us wenyewe
 
Uko sahihi 100% na ndiyo maana wanataka Kumuondoa / Kumuua kwani Idara za Usalama wa Marekani wameshaliona hilo kwa mbali na kugundua akiwa Rais itakuwa mbaya Kwao na katika harakati zao dhidi ya Urusi na hata Uchina pia.
 
Back
Top Bottom