Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Kwa shambulio hili wapinzani kwenye za kiafrika ni km wamehukumiwa kifo maana Marekani ndo kiranja wa dunia na mfano wa demokrasia katika siasa sasa kiranja wako akifanya mauchafu yaleyale anayofanya mwingine wa kawaida ni aibu sana na inampa jeuri ya kufanya mabaya zaidi, kiufupi hii ni itaichafua sana USA itamdharaulisha sana, na nchi zetu maskini itawapa jeuri watawala kuwa wanachofanya kwa wapinzani wao ni sahihi
 
Hapo tayari jamaa wa counter-assault walikuwa washafika na wengine tayari walikuwepo kwenye ring of protection!

Na hapo tayari lead wa detail alikuwa keshaona kwamba hatari haipo tena.

Si uliwaona jinsi walivyo fasta?

Btw, counter-assault team ni wale wanaovaa magwanda, helmet, na wana yale mabunduki marefu [rifles].
babu unachekesha ati walivyofasta hivi unaujua u fasta wewe..? mtu kapigwa risasi sema tu hakufikia lengo!.. acheni habari za kuwasifia hao washikaji kwa tafsiri yatukio la trump totally walinzi wamechelewa! adui mpaka amepita na siraha aina ya siraha ya moto ni uzembe mkubwa sana!.

US inasifika kwa kuwa na ulinzi mkali ila hapa wameyumba sana na hii imeonyesha ktk medani hizi hakuna mkali popote adui anaweza kuingia,pia rejelea tukia la yule jamaa alieingia ikulu white house mpk kwenye uanda wa kuanza kutaka kuingia vyumbani!!.

ulinzi umeanguka sana!
 
Okay, sawa.

Mtu usiyejua hata tofauti ya ‘r’ na ‘l’ ni vigumu sana kufanya mjadala nawe.
 
1720923159427.png
... sijui walikadanganyia pipi ngapi maskini!!!? 😥
 
Back
Top Bottom