Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
🤓🤓🤓🤓 Hatari….
Hao ni wale ndezi wanaoshindana na Mr.Moscovischt🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni wale ndezi wanaoshindana na Mr.Moscovischt🤣
Aongezewe ulinziKwa sababu hiyo, ulinzi wake ni zaidi ya ule wa Clinton, Carter, au W. Bush.
Kuna watu wana bahati, ilikua wanammaliza, alikuwa anafumuliwa kichwa pale mbele na watu wanashuhudia, risasi imekosa kidogo sana.
Wa hivyo hawakosekani mkuu, we hujawahi kusikia watu wanasema 2pac ali fake kifo?Mazingira ya siasa za Marekani yamekuwa ya mgawanyiko mkubwa sana(polarized) katika mstari wa vyama viwili kiasi kwamba hata katika matukio ambayo mwanasiasa angeweza kuvuna kura za huruma tu kama hili la kushambuliwa kwa Trump inakuwa vigumu sana kwa jambo hilo.
Tayari inaonekana kundi kubwa la Wamarekani wakikebehi tukio zima kama igizo fulani tu(staged), hivyo ni sahihi kusema mshale wa siasa za uchaguzi hautabadilika sana kuelekea November
View attachment 3041838
Nyani umekosa credibility sana; linapokuja swala la Trump unaandika vitu pumba sana.Hawawezi kumshinda kwa kura!
Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.
Sasa wanataka kumuua!
Democraps.
Yeah! Yaani ilikuwa ni inches tu kichwa kingefumuka.Kuna watu wana bahati, ilikua wanammaliza, alikuwa anafumuliwa kichwa pale mbele na watu wanashuhudia, risasi imekosa kidogo sana.
Mikutano inayofuata sijui utawekwa ulinzi upi, ngoja tuone?
Democrats walimshinda kwa kura mwaka 2020. Hiyo sio hoja. La msingi zaidi ni kusubiri majibu ya uchunguzi.Hawawezi kumshinda kwa kura!
Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.
Sasa wanataka kumuua!
Democraps.
Sasa Kama walimshinda kwa kura hiyo 2020 hizo lawfare zote za nini?Democrats walimshinda kwa kura mwaka 2020. Hiyo sio hoja. La msingi zaidi ni kusubiri majibu ya uchunguzi.
Shambulio linachunguzwa kama assassination attempt. Which is obvious ukizingatia mazingira ya tukio lenyewe.
Hata hivyo, hili tukio kwa kiasi kikubwa linaweza kuathiri public opinion in favor of Trump kwenye uchaguzi ujao.
... kumbe siko peke yangu @Lethergo!Mazingira ya siasa za Marekani yamekuwa ya mgawanyiko mkubwa sana(polarized) katika mstari wa vyama viwili kiasi kwamba hata katika matukio ambayo mwanasiasa angeweza kuvuna kura za huruma tu kama hili la kushambuliwa kwa Trump inakuwa vigumu sana kwa jambo hilo.
Tayari inaonekana kundi kubwa la Wamarekani wakikebehi tukio zima kama igizo fulani tu(staged), hivyo ni sahihi kusema mshale wa siasa za uchaguzi hautabadilika sana kuelekea November
View attachment 3041838
Risasi ya iliyompata sikioni bila shaka ililenga kichwaNafikiri wanajaribu kumtumia ujumbe, wangetaka kumuua wasingeshindwa.
Kauliwa muda ule ule kajulikana sekunde 5 nyingiWatu wasiojulikana
Ila akili za watu wengine bana!Mazingira ya siasa za Marekani yamekuwa ya mgawanyiko mkubwa sana(polarized) katika mstari wa vyama viwili kiasi kwamba hata katika matukio ambayo mwanasiasa angeweza kuvuna kura za huruma tu kama hili la kushambuliwa kwa Trump inakuwa vigumu sana kwa jambo hilo.
Tayari inaonekana kundi kubwa la Wamarekani wakikebehi tukio zima kama igizo fulani tu(staged), hivyo ni sahihi kusema mshale wa siasa za uchaguzi hautabadilika sana kuelekea November
View attachment 3041838
Komwe tulia ulitaka afe si ndio?mbona kama MAIGIZO YA SINEMA?
Risasi ya sikio?? Halafu anapeta tu!
Yaaniii??? Risasi imembaraza sikio kama MSASA?
Akili Maandazi hao wapinzani wa Trump wapo tayari kusema loloteIla akili za watu wengine bana!
Sasa ina maana hata Secret Service nao walihusuka katika igizo zima na hao waliokufa nao walikubali kufa kwenye hilo igizo?
Hizi social media zimeua kabisa akili za watu.
njoo inboxKomwe tulia ulitaka afe si ndio?