Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Yah! jamaa wanafahamu vyema kazi yao, ndani ya muda mchache sana walishammaliza muuaji.
Jamaa ni professional. Wapo makini ile mbaya.
Shooter kauliwa na Secret Service!

Ila sijui aliwezaje kuvuka rings of protection maana ulinzi wa Trump uko tofauti kidogo na ulinzi wa marais wengine wa zamani.
 
Hao askari wapo makini sana, professional, skilled.

kuna yule muuaji Dar aliitwa Hamza, askari wa Tz walichokifanya pale kinatia huruma, yani muuaji huyu hapa na hapa jamaa wanamkosa risasi.
Sasa angalia hao secret service walivyofanya kazi chap sana, ingekua bongo hapo askari wangerusha mabomu ya machozi, mara field force wanaingia kuanza kutandika virungu watu, basi ingekua ni tafrani tu na muuaji anatokomea, mnaanza kupigwa search mlangoni ole wako ukutwe na kipisi cha bangi 🤣 utaelezea...
 
Hao askari wapo makini sana, professional, skilled.

kuna yule muuaji Dar aliitwa Hamza, askari wa Tz walichokifanya pale kinatia huruma, yani muuaji huyu hapa na hapa jamaa wanamkosa risasi.
Sasa angalia hao counter-assault na hao secret service walivyofanya kazi chap sana, ingekua bongo hapo askari wangerusha mabomu ya machozi, mara field force wanaingia kuanza kutandika virungu watu, basi ingekua ni tafrani tu na muuaji anatokomea, mnaanza kupigwa search mlangoni ole wako ukutwe na kipisi cha bangi 🤣 utaelezea...
Askari wa bongo hakuna kitu sema sasa wakimdaka mbuzi wa kafara ni balaa
 
Shooter kauliwa na Secret Service!

Ila sijui aliwezaje kuvuka rings of protection maana ulinzi wa Trump uko tofauti kidogo na ulinzi wa marais wengine wa zamani.
Mi nilifikiri ni hao counter-assault ndio walimfuata wakammaliza, ina maana ulinzi wa Trump ni mkubwa zaidi ama kuna tofauti gani?
 
Counter assault member huyo!

IMG_6720.jpeg
 
Askari wa bongo hakuna kitu sema sasa wakimdaka mbuzi wa kafara ni balaa
Yani mkuu ukihesabu muda ambao Trump alijishika sikio ina maana mlengaji alikuwa hai, halafu wale secret service wakafika alipo kumuwekea ulinzi Trump alipoanguka chini na yule secret service aka confirm kuwaambia wenzake "shooter is down" hiko kitendo hakijafika dakika 1, ni sekunde kadhaa., jamaa wapo faster, bongo hio hawawezi.
 
Mi nilifikiri ni hao counter-assault ndio walimfuata wakammaliza, ina maana ulinzi wa Trump ni mkubwa zaidi ama kuna tofauti gani?
Ndiyo, taarifa kutoka CBS zinasema kwamba ni counter assault team ndo waliomuua jamaa.

Trump ni Rais wa zamani lakini si zamani sana. Bado yuko active kwenye politics na kwa vile ni mtu ambaye ana watu wengi sana wanaompenda na wengi sana wanaomchukia, na kwa sababu hiyo, vitisho dhidi yake ni vingi sana.

Kwa sababu hiyo, ulinzi wake ni zaidi ya ule wa Clinton, Carter, au W. Bush.
 
Back
Top Bottom