Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Isije kuws kiki tu ila nje ya hili tukio huyu mwamba namkubali sana hana unafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda mrefu wametuaminisha kuwa wao wamestaarabika, wanaendesha siasa za maridhiano nk.Mimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!
Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.
Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.
Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.
Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?
Tatizo lako hutaki huelewi hata kugugo hutaki na video ipo onlineAcha Stori za kwenye kahawa
Matumizi mabaya ya risasi, sikio kweli??Donald Trump kakimbizwa hospitali baada ya kupigwa risasi ya sikio akiwa kwenye mkutano wa kampeni.
Chanzo Sky News.
Inashangaza kumbe hata US wana mambo ya kiswahili kama sie 🤣Walioshindwa kujibu hoja za Donald Trump sasa waamua kutumia silaha, hakika watu wa aina hii wanaotaka kunyamazisha sauti kama za kina Donald Trump ni wendawazimu.
Inashangaza kumbe hata US wana mambo ya kiswahili kama sie 🤣
Ingetokea africa lawama kwa chama tawala zingetoka kila konaWalinzi wake wamzukuka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu baada ya milio ya risasi kusikika usiku huu Butler Pennsylvania.
Bado hajajulika nani alifyatua risasi ,
Updates
mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.
Bado haujajulikana kuwa damu zinazo tililika kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni
Update
Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.
Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.
Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana ,huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na taifa
Palina
Inasemekana ni kibastola cha kuulia panya ndiyo kilichotumika.Nimesikitika sana. Walishindwa kumlenga kwenye kichwa kabisa..?
Maoni ya wananchi
Emergency Podcast: Trump Assassination Attempt | PBD Podcast Ep.437
View: https://m.youtube.com/watch?v=dbJ3ju2mDrQ
Unahakikishaje hii ni kazi ya chama na si ya watu tu ambao hawampendi?Mimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!
Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.
Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.
Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.
Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?
Sio kwamba ni mashoga na wapenda vita ambao wanaona trump anahatarisha ajenda zaoMimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!
Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.
Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.
Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.
Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?
That is USAMgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchi Marekani na Rais wa zamani Donard Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo
Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa siko la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni