Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Mimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!

Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.

Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.

Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.

Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?
Muda mrefu wametuaminisha kuwa wao wamestaarabika, wanaendesha siasa za maridhiano nk.
Sasa wamechukua njia za bara la giza kushambulia wapinzani.
Ni aibu kwa nchi kama Marekani.
 
Walinzi wake wamzukuka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu baada ya milio ya risasi kusikika usiku huu Butler Pennsylvania.

Bado hajajulika nani alifyatua risasi ,

Updates

mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.

Bado haujajulikana kuwa damu zinazo tililika kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni

Update

Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.

Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.

Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana ,huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na taifa

Palina
Ingetokea africa lawama kwa chama tawala zingetoka kila kona
 
1720914797686.png

Trump, ambaye ni mgombea urais mtarajiwa kwa tikiti ya chama cha Republikan, alionekana akinyoosha mkono wa kulia kuelekea shingoni mwake kabla ya shambulizi hilo kutokea.

Kulionekana kuwa na damu usoni mwake, hususan karibu na sikio la upande wa kulia.

Trump tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais wa Marekani na hivi karibuni alifanya mdahalo na Rais wa sasa Joe Biden, mdahalo ambao Wachambuzi wengi wamesema haukwenda sawa kwa upande wa Biden kwakuwa alizidiwa uwezo wa kujieleza na kujibu maswali na Trump.
 
Mimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!

Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.

Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.

Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.

Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?
Unahakikishaje hii ni kazi ya chama na si ya watu tu ambao hawampendi?

Wanasema aliyempiga risasi ni Antifa.
 
Mimi nilishasema kwamba chama cha Democrat hakina tofauti kabisa na CCM!

Hao Democrats walianza na kujaribu kutaka kumwengua Trump kwenye baadhi ya majimbo. Hiyo ikashindikana.

Wakambambikia makesi kibao. Hiyo nayo haijaenda kama walivyotarajia.

Sasa wanatumia risasi. Kwa bahati nzuri, hiyo nayo haijafanikiwa.

Sasa nambie, hizo figisu zao zina tofauti gani na figisu za CCM?
Sio kwamba ni mashoga na wapenda vita ambao wanaona trump anahatarisha ajenda zao
 
Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchi Marekani na Rais wa zamani Donard Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo

Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa siko la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni

Bado hajajulika nani alifyatua risasi ,

Updates

mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.

Bado haujajulikana kuwa damu zinazo tililika kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni

Update

Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.

Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.

Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana ,huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na taifa

Palina
That is USA
 
Back
Top Bottom