Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Halafu hao secret service kuna muda walimaucha kichwa kipo wazi, angetokea shooter mwingine si alikuwa anammaliza.
Hapo tayari jamaa wa counter-assault walikuwa washafika na wengine tayari walikuwepo kwenye ring of protection!

Na hapo tayari lead wa detail alikuwa keshaona kwamba hatari haipo tena.

Si uliwaona jinsi walivyo fasta?

Btw, counter-assault team ni wale wanaovaa magwanda, helmet, na wana yale mabunduki marefu [rifles].
 
INSIDE JOB!
1720916486601.png
 
Huku kizungumkuti kikiendelea kuhusu tukio linalodaiwa la kushambuliwa na risasi Rais wa zamani wa Marekani Trump, kumeibuka kundi lingine kubwa wakidai tukio hilo lina dalili zote za kupangwa kama igizo(staged)
 
Mashuhuda wasema walimuona mtu mmoja mwanamume juu ya paa la jengo akiwa na bunduki ya aina ya rifle

View: https://m.youtube.com/watch?v=DNsUhpNWEhQ

wakajiuliza kwanini polisi hawajachukua hatua, wakati huo huo rais mstaafu Donald Trump akiendelea kuhutubia ktk mkutano.

Mashuhuda hao walikuwa wananyoosha vidole kuwasisitiza Polisi kuna mtu anatambaa juu ya paa la jengo akiwa na bunduki kabla shambulio halijatokea ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=84Q3FWpol7g
 
Hapo tayari jamaa wa counter-assault walikuwa washafika na wengine tayari walikuwepo kwenye ring of protection!

Na hapo tayari lead wa detail alikuwa keshaona kwamba hatari haipo tena.

Si uliwaona jinsi walivyo fasta?

Btw, counter-assault team ni wale wanaovaa magwanda, helmet, na wana yale mabunduki marefu [rifles].
Yah! jamaa wanafahamu vyema kazi yao, ndani ya muda mchache sana walishammaliza muuaji.
Jamaa ni professional. Wapo makini ile mbaya.
 
Back
Top Bottom