Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
my family and I, are praying for your quickly recovery on your injuries Mr.Donald Trump 🐒Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchi Marekani na Rais wa zamani Donard Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo
Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa siko la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni
Bado hajajulika nani alifyatua risasi ,
Updates
mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.
Bado haujajulikana kuwa damu zinazo tililika kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni
Update
Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.
Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.
Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana ,huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na taifa
Palina
View attachment 3041758View attachment 3041759
View attachment 3041829
View attachment 3041836
Trump rushed off stage at Pennsylvania rally as shots heard
Pennsylvania & London
Secret Service agents have rushed former President Donald Trump off stage after what sounded like gunshots rang out at a rally in Pennsylvania.
Footage showed him grimace and raise a hand to his right ear, before ducking as sharp cracks - apparently shots - broke out.
He was quickly swarmed by secret service agents and rushed off stage to a waiting vehicle. He raised a fist as he was bundled into the car.
In a statement Trump's campaign said he was "fine" and was being "checked out" at a local medical facility.
“President Trump thanks law enforcement and first responders for their quick action during this heinous act,” spokesman Steven Cheung said.
The former president appeared to have blood on his ear as protection officers led him away.
Law enforcement sources later told US media that the male suspect and an audience member were dead.
In a statement, the Secret Service said Trump was safe and that measures for his protection had been implemented.
They added that an active investigation was now under way and that further information would be released when available.
The Republican candidate for president had been addressing his supporters in Butler, Pennsylvania - a crucial swing state in November's election.
Multiple bangs rang out as Trump spoke about his successor, President Joe Biden, and his administration.
Several supporters holding placards and standing behind Trump ducked as the apparent shots were heard.
One witness - Greg - told the BBC that he had spotted a suspicious-looking person "bear crawling" on a roof about five minutes before Trump started speaking. He said he pointed the person out to police.
"He had a rifle, we could clearly see him with a rifle," he said. "We’re pointing at him, the police are down there running around on the ground – we’re like ‘hey man there’s a guy on the roof with a rifle’ and the police did not know what was going on."
Another witness, Jason, told the BBC that he heard five shots, which went off in quick succession.
“We see the Secret Service jump on Trump to protect him. Everyone in the crowd dropped down very quickly," he said.
“He shortly thereafter stood up and put his fist up in the air, said a couple of things."
Tim - who was also at the rally - told the BBC that he had heard a "barrage" of shots.
"There was a spray which we initially thought was a fire hose, and then the speaker on the right-hand side started coming down," he said.
"Something must have hit the hydraulic lines [which caused it to fall]. We saw President Trump go to the ground and everyone started dropping to the ground because it was chaos."
In a written statement, President Biden said he was "grateful to hear" that Trump was "safe and doing well".
"There’s no place for this kind of violence in America," he added. "We must unite as one nation to condemn it."
Politicians of both parties joined Mr Biden in condemning the apparent attack.
Former President Barack Obama said there "is absolutely no place for political violence in our democracy" and that he was "relieved that former President Trump wasn’t seriously hurt".
Trump's Vice-President Mike Pence said he and his wife were praying for his former ally, adding that he urged "every American to join us".
And House Minority Leader Hakeem Jeffries said in a statement: “My thoughts and prayers are with former President Trump. I am thankful for the decisive law enforcement response. America is a democracy. Political violence of any kind is never acceptable.”
Democrats ni masonic 100%Wakati wa Trump hakukua na Vita za kisengesenge alipoingia huyo Babu yako Ukoo wa Bush na Obama wakakinga ndoo ya Damu sasa Palestine damu zinamwagika Ukraine damu zinamwagika
Democrats ni masonic 100%
JESUS IS LORD&SAVIOR
Una ushahid kama kauwawa?Wa hivyo hawakosekani mkuu, we hujawahi kusikia watu wanasema 2pac ali fake kifo?
Kama ilikuwa staged imekuwaje yule muuaji kauwawa?
Trump sio mpenda vita. wapenda vita ndio hao masheitwani wanywa damu za watu.Nyie ndio vishoiya sana
kwamba republicani ndio wana wa Mungu??
wote mashetani, na hakuna shetani mwema
Wametaka na wameshindwaNafikiri wanajaribu kumtumia ujumbe, wangetaka kumuua wasingeshindwa.
mkuu, nimecheka kwa sauti hapa nilipo.Ila akili za watu wengine bana!
Sasa ina maana hata Secret Service nao walihusuka katika igizo zima na hao waliokufa nao walikubali kufa kwenye hilo igizo?
Hizi social media zimeua kabisa akili za watu.
Si kazi yao kulinda viongozi, hiyo ni kazi ya taasis nyingineCIA NA FBI WALIKUWA WAPI?
Wewe inaonekana hauijui Marekani. Marekani sio Tanzania ambapo rais ndiye Mungu mtu hata akiamua kuuza mlima Kilimanjaro watu wote watashangilia na kumtungia nyimbo.Ingetokea Tanzania leo mngepiga sana Kelele hapa ila kwa kutokea Marekani mnakodhania ni Paradiso na kwamba huko hakuna Umafia mmenyamaza na mmebaki tu kumpa pole Trump.
Idara zote za Usalama wa Marekani haziwezi kukubali Trump kuwa Rais kwa Kuhofia ukaribu na urafiki wake na Taifa Adui Kijeshi, Kinguvu na Kiusalama kwa sasa la Urusi na Rais Putin.
Trump akiwa Rais tena Idara za Usalama wa Marekani zinahofia anaweza kubadili Sera zao na hasa Mpango wa Kupambana Kijeshi, Kisera na hata Kirasilimali na Urusi hali ambayo inaweza kuipa Nguvu Urusi kwa Kushirikiana na Taifa Adui lingine la China na Kujiimarisha zaidi hali itakayoweza kutishia na hata pengine kuuzidi Ubabe wa Marekani kwa Dunia.
Na hili halitokuwa Jaribio la Kwanza yanaweza yakaja mengineyo na kwa muundo tofauti tofauti ili mradi tu ama Kummaliza kabisa au Kumtishia Usalama wake ili aogope na aachane na nia yake ya kuutaka Urais wa Marekani tena.
Ila kuna uwezekano mkubwa pia hili Tukio likawa ni la Kimkakati ama kwa Mwenyewe Trump kuhusishwa au Watu wa Chama chake Kuutengeneza bila Kumshirikisha ili litokee na litume Ujumbe kwa Wamarekani kuwa hawako Salama, Democrats wanataka Kumuua na pia liwe ni Tukio la Kumbeba zaidi Kiumaarufu Trump, kutengeneza Huruma kwa Wamarekani na litumike kama Turufu Kuu katika Kampeni zake za kuelekea White House tena.
Leo ndiyo mjue kuwa Umafia na Matukio kama haya huwa hayatokei tu Afrika na kwamba hata huko ambako Kutwa tunawasifu wameendelea na wana Demokrasia iliyotukuka na kwenyewe huwa ni hivyo hivyo tu kwani Urais / Madaraka ni Matamu mno hasa ukishayakalia.
Ngoja sasa GENTAMYCINE "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nijiandae zangu kwa Ibada yangu ya Jumapili Kanisa langu Katoliki ili niendelee kupata Baraka na Ulinzi kutoka Kwake Mwenyezi Mungu, Mwana wa pekee Yesu Kristo, Roho Mtakatifu na Malaika wakuu Mikaela na Jibril.
Jumapili Njema nyote.
Hawa ndio secret service acha wale wa inchi fulani
Hata sijaelewa hiki ulicho comment hapaSiamini kama tatizo ni democrats, tatizo ni Trump, maana hata republican wanaelewa nini maana ya Urais wanampinga
Juzi nilisikiliza Joe Rogan podicast walisema assassination attempt haipo mbali