barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Unaumiza sana akili ku-over think ili kuengeneza kisichopo. Get back to basics and common sense my friend...Mkuu Nyani Ngabu hizo risasi zilizo makosa Trump mbona hazikuwa umiza watu waliokuwa mkutanoni na ukiangalia alivyokuwa amesimama kwa kugeuka imekuwaje aumie sikio la kulia tu .
USSR
Pia mwaka 2016 mwezi June, huyu dogo Michael Sandford raia wa Uingereza, almanusura am shoot Trump kwenye rally pale Las Vegas baada ya kuipokonya gun kutoka kwa LVMPDNadhani wanaziamini hizo tactics zao nyingine.
Sina hakika sana lakini nadhani Marekani ndo nchi inayoongoza kwa kuwa na marais wengi ambao wameuwawa!
Kuanzia 1865 mpaka leo hii.
Secret service wana uzoefu sana na hizi assasinations.
Hata Israel huwa inapeleka watu wake kufunzwa na Secret service namna ya kuwalinda viongozi.
Kama unakumbuka, 1995 Yitzhak Rabin aliuliwa.
Baada ya hapo Israel ikapeleka agents wa Shin Bet kuwa trained na secret service.
Hili tukio hili kama vile sina imani nalo, ht picha unaona kuna namna zimepigwa kimkakati.Halafu hao secret service kuna muda walimaucha kichwa kipo wazi, angetokea shooter mwingine si alikuwa anammaliza.
Heavy guns (Rifles) ww unajua ni zipi..? Tuanzie hapo.. au umekariri RPG na madude mengine mnayoona ktk movie za Rambo 😅Kwamba shooter alikuwa anaenda vitani mpaka ashike heavy guns, ambazo kwa USA ni prohibited pia.
Watakuuliza una uhakika gani muuaji kauwawaWa hivyo hawakosekani mkuu, we hujawahi kusikia watu wanasema 2pac ali fake kifo?
Kama ilikuwa staged imekuwaje yule muuaji kauwawa?
Unaishi Kigoma afu unamchukia Trump aliyewahi kuwa rais wa Marekani 😂Wangenipa mimi hiyo contract,
Mods wangeamka kesho na kubadilisha kichwa cha habari
Aombewe nanani kama wanaamua kumuua waache wamuue tu kila nafsi itaonja umautiTrump anapitia majaribu mengi kwa kweli. Ni kumuombea sana huyu mzee.
Wameshindwa kumuua,hakuna sniper duniani anayeweza kutarget sikio tuNafikiri wanajaribu kumtumia ujumbe, wangetaka kumuua wasingeshindwa.
Ujumbe gani wakati mtu mmoja amekufa kwa risasi zilizomkosa Trump!! Mind you aliye shoot ameuwawa sasa una risk maisha yako kisa kutuma ujumbe?Nafikiri wanajaribu kumtumia ujumbe, wangetaka kumuua wasingeshindwa.
Hii imani tuifute kabisa akiliniSiku zote tunaamini marekani ndo baba wa democrasia duniani.
Wanaweza kuwa wahuni tu pia....ngoja tusubiriHawawezi kumshinda kwa kura!
Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.
Sasa wanataka kumuua!
Democraps.
Kwahy tukio linabadilika linakuwa n tukio la bangi 😂Hao askari wapo makini sana, professional, skilled.
kuna yule muuaji Dar aliitwa Hamza, askari wa Tz walichokifanya pale kinatia huruma, yani muuaji huyu hapa na hapa jamaa wanamkosa risasi.
Sasa angalia hao secret service walivyofanya kazi chap sana, ingekua bongo hapo askari wangerusha mabomu ya machozi, mara field force wanaingia kuanza kutandika virungu watu, basi ingekua ni tafrani tu na muuaji anatokomea, mnaanza kupigwa search mlangoni ole wako ukutwe na kipisi cha bangi 🤣 utaelezea...
Ndio kura ziamue sio risasiTrump hawezi kuwa rais wa US again, kama vile ulivyochukuzwa na Magufuli basi jua wana tabia moja
Jamaa alipopiga risasi na ushuzi ukamtokaSio kwamba ni mashoga na wapenda vita ambao wanaona trump anahatarisha ajenda zao
Askari anasema mtuhumiwa ametoa maelezo kwa kina, hy kina hua n kipigo tuu 😂Askari wa bongo hakuna kitu sema sasa wakimdaka mbuzi wa kafara ni balaa
Pengine mudunguaji/wadunguaji lengo lao ni hilo tu....Hii imani tuifute kabisa akilini