Fikira tena ama ndiyo uhalisia....hamkuchoma banda la kuku la mwana CCM kwenye kampeni za udiwani Igunga,banda na kuku vikaungua na kuteketea,ikasalimika karatasi tu yenye maandishi_...."SISI NDIYO CHADEMA..."?!...MUKAMA, akatangaza mbele ya vyombo vya habari kwamba CHADEMA ni magaidi wamefanya hivyo,akiwa amezungukwa na Polisi wa CCM?Unaongea fikra zako za Bavicha.
Sasa mkuu unataka watu wasichangie? Kukosa kwako maarifa usitake na wenzako wawe kama wewe.Hawa ndio watanzania,soma comments zao kwenye hii issue ya Trump,ujuaji mwingi ..hata wamarekani wenyewe hawana ujuaji zaidi kuhusu hili tukio.
Lakini hawa hawa watanzanzia linapokuja suala linalowahusu wao kama watanzanzia utaona wote wako kimya.
Very funny
Kwani hujui hata Robert Kennedy mdogo wake na Rais Kennedy mwaka 1968 alikuwa mgombea wa urais na aliuawa kwa risasi jukwaani wakati wa kampeni kama hivyo ?Acha bange dogo. Kennedy alipigwa risasi akiwa rais, tayari kwenye mamlaka yake. Trump sio rais kwasasa ni mgombea tu. Kwa hivi ameshambuliwa kama mpinzani, ni kama CCM inavyoshambulia wapinzani wake kwa risasi
Kwa sababu Marekani mtu yeyote kuanzia miaka 18 hata kama ni mwendawazimu anaweza kununua bunduki kama bidhaa nyingine yoyote tu.ingetokea Africa sasa ungesikia Makelele yake. Inakuwaje xpresident anapigwa kirahisi hivyo kwenye nchi yenye uzoefu wa raisi kuuwawa kwa staili ileile?
Hahahaha!! Wabongo mmeshindikanaHalafu hao secret service kuna muda walimaucha kichwa kipo wazi, angetokea shooter mwingine si alikuwa anammaliza.
Kwa hiyo ilibidi wapite kimyakimya bila ku comment.Hawa ndio watanzania,soma comments zao kwenye hii issue ya Trump,ujuaji mwingi ..hata wamarekani wenyewe hawana ujuaji zaidi kuhusu hili tukio.
Lakini hawa hawa watanzanzia linapokuja suala linalowahusu wao kama watanzanzia utaona wote wako kimya.
Very funny
Soma comments zao kaka,Kwa hiyo ilibidi wapite kimyakimya bila ku comment.
Hayo yanayowatokea watsnzania si wanajitakia wenyewe
Hivi mnafikiria hao sniper ni robot au majini? hata wanapokwenda kufanya matukio na wao wanaogopa...Mbna kapigwa sikioni!!!....au wanatupanga,kweli sniper yupo vzuri kaacha kichwa kapiga sikio
Kizazi Cha afu mbiliView attachment 3041853 ... sijui walikadanganyia pipi ngapi maskini!!!? 😥
Itakuwa haufahamu maana ya neno “national interests” wakati ambapo wanalitumia.Putin ni adui wa viongozi wa marekani na si adui wa taifa la marekani,kuna tofauti kubwa sana
Si ndiooooo 😎aah?
leo matusi sio issue, wala muhimu tena eee
CIA na FBI unajua kazi zao wewe ?CIA NA FBI WALIKUWA WAPI?
Rissu Lahisi ajayeTrump Rais ajaye