Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Fikira tena ama ndiyo uhalisia....hamkuchoma banda la kuku la mwana CCM kwenye kampeni za udiwani Igunga,banda na kuku vikaungua na kuteketea,ikasalimika karatasi tu yenye maandishi_...."SISI NDIYO CHADEMA..."?!...MUKAMA, akatangaza mbele ya vyombo vya habari kwamba CHADEMA ni magaidi wamefanya hivyo,akiwa amezungukwa na Polisi wa CCM?Unaongea fikra zako za Bavicha.