Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Unaongea fikra zako za Bavicha.
Fikira tena ama ndiyo uhalisia....hamkuchoma banda la kuku la mwana CCM kwenye kampeni za udiwani Igunga,banda na kuku vikaungua na kuteketea,ikasalimika karatasi tu yenye maandishi_...."SISI NDIYO CHADEMA..."?!...MUKAMA, akatangaza mbele ya vyombo vya habari kwamba CHADEMA ni magaidi wamefanya hivyo,akiwa amezungukwa na Polisi wa CCM?
 
Hawa ndio watanzania,soma comments zao kwenye hii issue ya Trump,ujuaji mwingi ..hata wamarekani wenyewe hawana ujuaji zaidi kuhusu hili tukio.

Lakini hawa hawa watanzanzia linapokuja suala linalowahusu wao kama watanzanzia utaona wote wako kimya.
Very funny
 
Sasa mkuu unataka watu wasichangie? Kukosa kwako maarifa usitake na wenzako wawe kama wewe.
 
Acha bange dogo. Kennedy alipigwa risasi akiwa rais, tayari kwenye mamlaka yake. Trump sio rais kwasasa ni mgombea tu. Kwa hivi ameshambuliwa kama mpinzani, ni kama CCM inavyoshambulia wapinzani wake kwa risasi
Kwani hujui hata Robert Kennedy mdogo wake na Rais Kennedy mwaka 1968 alikuwa mgombea wa urais na aliuawa kwa risasi jukwaani wakati wa kampeni kama hivyo ?
Marekani kuna umafia sana , hasa deep state ,ukigusa maslahi yao wanakutoboa na risasi ,
Hata Ronald Reagan aliwahi kukoswa koswa kuuawa na risasi , akina Lincoln waliuawa kwa risasi wakihutubia , kuna maiais kibao wa Marekani wameuawa kwa risasi .
 
ingetokea Africa sasa ungesikia Makelele yake. Inakuwaje xpresident anapigwa kirahisi hivyo kwenye nchi yenye uzoefu wa raisi kuuwawa kwa staili ileile?
Kwa sababu Marekani mtu yeyote kuanzia miaka 18 hata kama ni mwendawazimu anaweza kununua bunduki kama bidhaa nyingine yoyote tu.
 
Hata Kennedy inasemekana moja ya sababu ya yeye kuuawa ilikuwa ni kupingana na deep state kuhusu kuvamia Cuba na kumtoa madarakani Fidel Castro + kutaka kumaliza vita ya Vietnam ,kitu ambacho ndio msingi wa faida kwa taasisi za kibenki na viwanda vya silaha .
Hizo taasisi zinamilikiwa na majitu yenye mikono mirefu na vita kwao ni faida , ukitaka kukosana nao ongelea kuhusu kupunguza jeshi na shughuli za kuhusisha Marekani kwenye vita ,lazima wakuue
 
Hawa ndio watanzania,soma comments zao kwenye hii issue ya Trump,ujuaji mwingi ..hata wamarekani wenyewe hawana ujuaji zaidi kuhusu hili tukio.

Lakini hawa hawa watanzanzia linapokuja suala linalowahusu wao kama watanzanzia utaona wote wako kimya.
Very funny
Kwa hiyo ilibidi wapite kimyakimya bila ku comment.
Hayo yanayowatokea watsnzania si wanajitakia wenyewe
 
Back
Top Bottom