Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Ushindi tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi tayari
Jamaa kuto ombewa ndio sababu?Hayo ndio madhara kuto omba na hayo yote ni dalili kabisa ya kuto ombewa
Ndio maana nikauliza kwamba hata hao secret service ambao wanalipwa na Biden nao walihusishwa kwenye igizo ili wampe point za kisiasa Trump? Mbona huwa tunaambiwa system haimtaki Trump kivipi leo imsaidie apate marks za kisiasa?Sasa kama tukio limetengenezwa kuwa risasi imkose Trump c lazima watu wangehoji risasi ikaelekea wap wakat kulikuwa na watu wengi hapo, hv kama lengo n kumkosa raia bc n lazima risasi ikampate mwngn.
Ndo mana nkakuuliza je huyo aliyekuwa n nan hapo USA
Aahaaaa
Sio Marekani tu... Almost nchi zote Duniani, isipokuwa Russia na Korea labdaTatizo hataki kufata wakubwa wanataka nini, Kama uliangalia Mahojiano ya Putin na Turker, Putin aliweka wazi wanaoendesha Marekani wapo sio Biden, hao ndio wanataka nani awe Rais
Lissu alipata kura nyingiMbona lisu hamkumpa kura za huruma
USSR
Kabisa mkuu.Hilo tukio litazua conspiracy theories nyingi sana.
Mkuu una ushaidi na hili!?Na yule Bazazi Kennedy aliuwawaga kwa ujuha na upumbafu wake!
Unapewaje utamu mpaka unavujisha siri nyeti za nchi na serikali?! Tena kwa kahaba tu ambaye aliwa mpaka na wahuni wengine wa town wajanja wajanja wenye pesa mbuzi zinazotokana na michongo haramu?!
Kishtobe nae alikuwa akienda kuliwa na wahuni wengine huko anayapekeka kama yalivyo... Wahuni wanayapeleka kwa maadui... Wote mnaonekana mpo uchi, maadui wanaendelea kuchekecha, mwisho wa siku wakagundua kumbe amiri jeshi mkuu wetu ana mambo ya kishoga..., wakaamua kumlamba bazazi yule
Ni kina nani hao mkuu wanaoamua nani awe kiongozi wa nchi flani? Naomba unipe japo kwa kifupi abc...Sio Marekani tu... Almost nchi zote Duniani, isipokuwa Russia na Korea labda
Ndivyo itakavuokuwa kwa hili tukio piaKama zilivyoibuka msiba wa JPM
SahihiUnajua msimamo wa Trump kuhusu Palestina? Huyo ndio kwa mara ya kwanza aliitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel ilileta utata sana. Halafu wapenda vita sio Democrats ni Republicams. Fuatilia historia vizuri.
We kweli ZUZU 😂Just login to wish Mr. Donald Trump a quick recovery
Me and my family praying for you
Umejuaje alipata kura nyingi?Lissu alipata kura nyingi
Wahuni tukapita nazo
Fyaaaaaa
Mimi binafsi kwa niaba ya wapenda haki duniani kote na wachukia vita, tumesikitishwa sana na jaribio la kutaka kumuua mtu asipenda vita na vurugu,mtu mpenda amani na asiependa matumiazi ya nguvu badala ya diplomasia.Kibabu wao Biden hajitambui sasa wanatumia maguvu!
Losers.
Kuna Wamarekani hata ukiweka jiwe na Trump watalipigia jiwe kura na hao ni karibia nusu ya WamarekaniAfya ya Biden kiakili na kimwili haipo sawa, mzee anaweza kusimama kwenye mkutano akasahau anachopaswa kuzungumza, kwenye huu mkutano wa juzi hapa wa NATO, anamuita Zelensky ni Putin, sasa wananchi wamekuwa na mashaka juu ya afya yake kuongoza Taifa kubwa kama USA. Uzuri wenzetu hawana unafiki kama sisi.
Hivyo Trump ilikuwa wazi alikuwa anamshinda huyo mzee, sasa hii ku stage tukio kwa sababu ya tukio sidhani.
Ina maana huyo muuaji amekufa akiwa kwenye maigizo?
Watu hawakosi cha kuongea.
Hayo ni maoni yake bnafsi, hata mimi naweza kuleta tweets za walio vote kwa Biden lakini hivi sasa wanasema mzee apumzike.Kuna Wamarekani hata ukiweka jiwe na Trump watalipigia jiwe kura na hao ni karibia nusu ya Wamarekani
View attachment 3042092
Sniper mremboooooS
Sniper alitulia sana
Nifah huyu mshkaji anakutaka nini?!majitu mengine majinga sana yanakera.yanajifanya majuaji kumbe akili sifuri
Yana mtu kanusurika kufa unasema wamemuonya😕😕😕😕😕ndezi kabisa huyo binti kichwani ana makamasi tuu