Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Ndio maana nikauliza kwamba hata hao secret service ambao wanalipwa na Biden nao walihusishwa kwenye igizo ili wampe point za kisiasa Trump? Mbona huwa tunaambiwa system haimtaki Trump kivipi leo imsaidie apate marks za kisiasa?

Kingine why Trump afanye igizo wakati Biden hakubaliki? Hata Trump asipofanya kampeni kuna mtu mwenye akili timamu anaweza mchagua Biden?
 
Mkuu una ushaidi na hili!?
 
Kibabu wao Biden hajitambui sasa wanatumia maguvu!

Losers.
Mimi binafsi kwa niaba ya wapenda haki duniani kote na wachukia vita, tumesikitishwa sana na jaribio la kutaka kumuua mtu asipenda vita na vurugu,mtu mpenda amani na asiependa matumiazi ya nguvu badala ya diplomasia.
Kwa niaba ya wapenda haki wote wa humu JF ninalaani vikali tukio hilo la aibu kwa nchi ya Marekani,namuombea DT apone haraka ili aje arudishe amani duniani na pia naomba vyombo vya usalama viwatie nguvuni wale wote walio mbele na nyuma ya mpango huo.
 
Kuna Wamarekani hata ukiweka jiwe na Trump watalipigia jiwe kura na hao ni karibia nusu ya Wamarekani
 
majitu mengine majinga sana yanakera.yanajifanya majuaji kumbe akili sifuri

Yana mtu kanusurika kufa unasema wamemuonya😕😕😕😕😕ndezi kabisa huyo binti kichwani ana makamasi tuu
Nifah huyu mshkaji anakutaka nini?!

Au ashafanyaga majaribio ya kuleta maombi P.M unamlia bati?! Maana sioni point ya yeye kukushambulia namna hii kisa tu mchango wako hakupendezewa nao...

We jamaa acha mambo ya Kike..., sasa hapa hata wanaume wenzako tunakushangaa. Kipi kibaya kakisema mpaka umshambulie na maneno ya dharau na kejeli?!

Ushoga ukiwa unapamba moto, tayari kuna vijidume mchele vinajiingiza kwenye ushoga au vishakuwa vishoga bila kujijua.

Bwege nazi wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…