Idimulwa
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,944
- 2,459
Alionekana mtu juu ya paa la nyumba akiwa na rifle na Polisi wakatonywa wakaanza kumunyatia pengine ndiye,alifyatua mapema kabla hajafikiwa..Sio alikuwa nje ya ring?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alionekana mtu juu ya paa la nyumba akiwa na rifle na Polisi wakatonywa wakaanza kumunyatia pengine ndiye,alifyatua mapema kabla hajafikiwa..Sio alikuwa nje ya ring?
Msikieni huyu chawa wa mbowe 😂Trump kama Lissu, wote watatwaa Nchi zao
ulinzi mkali ni kuzuia kabla, i mean amewezaje kufika eneo hilo akiwa na siraha ya udunguaji pia kabla trump hajainama yani ku take action ye mwenyewe zimepita risasi kadhaa mpaka iliyompata sikio na walinzi walikuwa hawajafika!. pia inasemekana kuna mtu aliwaambia kwenye hilo jengo alikuwepo mtu anasiraha na hawakutake action huoni kuna upungufu hapo!..Ulitaka wafike faster kabla ya risasi? Yaani washindane mbio na risasi? Tafsiri yako kuhusu ulinzi mkali ni ipi? Au kwako ulinzi mkali ni ramli?
Shooter ni registered republicanHawawezi kumshinda kwa kura!
Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.
Sasa wanataka kumuua!
Democraps.
Inaitwa "Sympathy Vote".Hivi hata ulaya kuna mercy votes
achana nae...Yaaah hayo mambo pia anayo faiza..
Mtu akiona unampangua kwa hoja huwa anakuja na hizo gia...
We inaingia akilini seriously mtu mzima unasoma comment nzima alafu unakuja kutoa makosa ya r na l kama sio ukhanisi ni nini
hata hivyo historia yao inawatafuna viongozi wao wakuu mara kadhaa wamekuwa wakishambuliwa si jana si leo!Tunapoelekea ulinzi wa viongozi wengi duniani utakuwa mdogo sana maana maarifa yameongezeka na watu wamebadilika sana mfano tukio kama hili huenda kukawa na watu kadhaa kwenye circle ya ulinzi wamehusika
Ni kweli kabisa secret service wamechelewa mno kufika kama sio Juhudi za trump mwenyewe kuinama huenda angekula risasi au kama muuaji angetumia kilipuzi kikubwa zaidi huenda madhara yangekuwa makubwa
Lakini namna ameondoka ilikuwa kama wanafanya jaribio la kuokoa mbishi hata kuinama ndani ya shield ye anatoa mkono awe che Guevara
Nadhan Kuna lengo la kuua na lengo la kumfundisha adabu, huyo saliva au Lissu wote lengo lilikuwa n kufundishwa adabu tuu na sio kuuawa, na naamini ht Trump nae lengo sio kuuawa, yn serikali ya USA na uwezo wake wa jeshi lishindwe kuna na sniper wa kumuondoa trump kweli?Assassins wa siku hizi ni wajinga wajinga hasa... nilishangaa ishu ya Sativa kushindw kudedishwa. Hata huko USA pia sniper kashindwa kumdondosha mtu ambaye alikuwa hana movement yoyote ile.. (Static position).
Ok umemkosa, na watu (Walinzi) wamekuja kufanya Covering. Why usitumie heavy guns kupenetrate bullet from one body to another..?
Inasifika USA wana highend tools why mlio wa risasi usikike? Hakuna stealth mechanism iliyotumika (kiwambo)?
Or ni warning tu hawakutaka kumuua?
Amerika siyo salama. Kule ukimletea mtu za kuleta unakula "shaba".Marekani kumbe hamna usalama ni majingambo tu ya kwenye sinema.
We jamaa wewe itakuwa siasa za marekani huzijui. Tafuta muda some American Hostory, kwa habari yako Trump sio wa kwanza kushambuliwa kwa risasi, wapo marais wa Marekani walioshambuliwa kwenye mikutano yao. Tanzania hatujafikia viongozi kuwa attempted kwa risasi kwenye mikutano yao zaidi ya kuwashugurikia watu wanaokosoa wenye mamlaka. Ikifika huko bhasi mkuu jua tupo kwenye viwango vikubwa vya political intolerance.Siasa za Marekani sasa zinaanza kufuata njia za bara la Afrika.
Walitubeza kiasi cha kutosha, nao wanaingia kwenye aibu.
Bado haijajulikana kuwa damu zinazotiririka kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni
Point sio aina ya silaha ila point n wana lengo lipi kwenye hilo tukio. Kama lengo n kuuawa n lazima wangeenda na silaha husikaKwamba shooter alikuwa anaenda vitani mpaka ashike heavy guns, ambazo kwa USA ni prohibited pia.
Aaa wapi...wapuuzi ni POLISI wa CCM jombaa....tukio kama hilo wangefika wakarusha mabomu ya machozi na kisha kudondosha pale bendera ya CHADEMA....Halafu ungesikilizia sasa hilo tamuko la IGP siyo RPC tena mbele ya vyombo vya habari......Hawa wapuuzi Marekani wanatakiwa kuja kujifunza siasa Tanzania, Taifa lina miaka zaidi ya 300 bado wanaviaziana kuuwana wakati Tanzania Taifa lina miaka 60 tu Wanasiasa wanakunywa Juice Ikulu.
Kwa yanayo endelea pale Ukraine, chama cha Democrats na NATO nzima zinaona Trump nihatari sana kushika madaraka haswa kwa kipindi hiki..Hawawezi kumshinda kwa kura!
Wamejaribu lawfare, nayo imeshindikana.
Sasa wanataka kumuua!
Democraps.