Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara

Ingekua staged wangemuweka muislamu kama shooter... au mtu mweusi.
Watu weusi au waislamu huwa hawahusiki sana katika visa vya kufyatua risasi kwenye hadhara kubwa Marekani.
Waislamu wao shutuma zao huwa ni kufanya ugaidi, weusi shutuma zao nyingi ni kupigana risasi wao kwa wao pamoja na ujambazi.
 

Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo.

Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa sikio la kulia baada ya milio ya risasi kadhaa kusikika mkutanoni

Bado haijajulika nani alifyatua risasi.


Update 1
Mashuhuda wanasema walisikia milio risasi kadhaa kutokea kwenye jengo pembeni na ulipokuwa ukutano na kisha kumuona Trump akianguka chini na kuzungukwa na walinzi kwa mtindo wa kuatamia.

Bado haijajulikana kuwa damu zinazotiririka kutoka usoni ni sababu ya risasi au kuanguka chini ameondolewa akiwa mzima huku akiinua mkono kusalimia na kuaga akiwa anavuja damu usoni

Update 2
Mtu mmoja amefariki baada ya kupigwa risasi zilizomkosa Trump.

Inadaiwa wadunguaji walikuwa wawili kutoka pande mbili tofauti na mmoja amekamatwa huku hali ya Trump ikiendelea kuimarika na amewashukuru walinzi kwa kazi nzuri.

Rais Joe Biden ametaarifiwa na kumtakia Trump apone haraka sana huku kukiwa na mwito kutoka maeneo mbalimbali wakimtaka azungumze na Taifa.


Update

Mmarekani Mathew Thomas Cook mwenye miaka 20 ndio aliyemshambulia Trump kwa rifle kabla na yeye kuuwawa na walinzi

Anga la Pennyslivenia la limefungwa hakuna ndege inayoruhusiwa kutua wala kupaa

Rais Joe Biden amempigia simu mshindani wake na kumtakia apone haraka huku akisema hali hii haitakiwi kutokea nchni Marekani

Salamu za pole some toka
Italy kwa waziri mkuu Goeg malon , waziri mkuu wa Uingereza Stamar , waziri mkuu wa Japan Kishida,Rais wa Ufaransa makroon , Chancellor wa Ujerumani, waziri mkuu wa Canada,na n.k

Palina



=====

Trump rushed off stage at Pennsylvania rally as shots heard​


Pennsylvania & London
Secret Service agents have rushed former President Donald Trump off stage after what sounded like gunshots rang out at a rally in Pennsylvania.

Footage showed him grimace and raise a hand to his right ear, before ducking as sharp cracks - apparently shots - broke out.
He was quickly swarmed by secret service agents and rushed off stage to a waiting vehicle. He raised a fist as he was bundled into the car.
In a statement Trump's campaign said he was "fine" and was being "checked out" at a local medical facility.

“President Trump thanks law enforcement and first responders for their quick action during this heinous act,” spokesman Steven Cheung said.

The former president appeared to have blood on his ear as protection officers led him away.
Law enforcement sources later told US media that the male suspect and an audience member were dead.

In a statement, the Secret Service said Trump was safe and that measures for his protection had been implemented.
They added that an active investigation was now under way and that further information would be released when available.

The Republican candidate for president had been addressing his supporters in Butler, Pennsylvania - a crucial swing state in November's election.

Multiple bangs rang out as Trump spoke about his successor, President Joe Biden, and his administration.

Several supporters holding placards and standing behind Trump ducked as the apparent shots were heard.
One witness - Greg - told the BBC that he had spotted a suspicious-looking person "bear crawling" on a roof about five minutes before Trump started speaking. He said he pointed the person out to police.
"He had a rifle, we could clearly see him with a rifle," he said. "We’re pointing at him, the police are down there running around on the ground – we’re like ‘hey man there’s a guy on the roof with a rifle’ and the police did not know what was going on."

Another witness, Jason, told the BBC that he heard five shots, which went off in quick succession.

“We see the Secret Service jump on Trump to protect him. Everyone in the crowd dropped down very quickly," he said.
“He shortly thereafter stood up and put his fist up in the air, said a couple of things."

Tim - who was also at the rally - told the BBC that he had heard a "barrage" of shots.

"There was a spray which we initially thought was a fire hose, and then the speaker on the right-hand side started coming down," he said.
"Something must have hit the hydraulic lines [which caused it to fall]. We saw President Trump go to the ground and everyone started dropping to the ground because it was chaos."

In a written statement, President Biden said he was "grateful to hear" that Trump was "safe and doing well".

"There’s no place for this kind of violence in America," he added. "We must unite as one nation to condemn it."
Politicians of both parties joined Mr Biden in condemning the apparent attack.

Former President Barack Obama said there "is absolutely no place for political violence in our democracy" and that he was "relieved that former President Trump wasn’t seriously hurt".

Trump's Vice-President Mike Pence said he and his wife were praying for his former ally, adding that he urged "every American to join us".
And House Minority Leader Hakeem Jeffries said in a statement: “My thoughts and prayers are with former President Trump. I am thankful for the decisive law enforcement response. America is a democracy. Political violence of any kind is never acceptable.”
hakuna muislam alietajwa? maana ............................
 
Ndiyo hata aliyempiga risasi na kumuua Archduke Franz Ferdinand Carl Ludwig Joseph Maria wa Austria kupelekea vita ya pili ya Dunia alikuwa ni dogo wa miaka 18. Hakuna jipya
Kuna siku niliandika kuhusu Mind control programs na experiments zinazofanywa na vyombo vya usalama kwa nchi za wenzetu, mfano : CIA na programu ya MK ultra , ambapo inaaminika waliweza kutengeneza wauaji kadhaa kama Akina Timothy McVeigh na kuwatumia kufanya issues za mauaji na mambo mengine .
Hii wala sio siri iko wazi hata ukiingia Google ,ushahidi upo mwingi
So bila shaka hata hili tukio huyo dogo ni moja ya mind controlled killer kama product ya hizo programu
 
Wanawake waachwe wafanye kazi za kike tu, kama vile kupika, kuosha vyombo nk.

Hapo ukiangalia picha unaona kabisa demu anaogopa kupigwa risasi.

Badala ya ku bodyguard yeye amebend chini na kuacha sehemu kubwa hatari za target kuwa wazi.
Threat ilikuwa imeshakuwa terminated kabla hata hawajamuinua, ingawa zoezi zima linaacha mapengo kibao ya watu kuimalizia kazi kiurahisi zaidi.
Nakumbuka kuna issue iliwahi kutokea South Afrika wakati Mandela akiwa rais, wale ndiyo walionyedha masna halisi ya bodyguard na kazi inabyoyakiwa kufanywa. Mandela alikuwa covered pale chini na walipoinuka waliondoka naye speed wakiwa wamembeba chinichini kama machela
 
😂 Sniper anaogopa au siyo 😂
Sniper ni Mungu?
Hata contract killers ni waoga tena sana tu, sema wanafahamu namna ya kuji handle kwenye situations kama hizo, wanafahamu namna ya ku control hofu wanapokuwa kazini, vile vile askari wana mafunzo hayo, kufanya majukumu yao under pressure.

Tatizo wengi mkisikia hitman, sniper, contract killer mnanafikiri kuhusu ni wale wa movie za hollywood wakiwa wamevalia suit nyeusi, miwani n.k
Hao ni watu kama wewe, movie zmetuharibu sana aisee..
 
Back
Top Bottom