Marekani: Familia ya marehemu Valambhia yaifungulia kesi Serikali ya Tanzania. Dreamliner hatarini

ni vigumu kuifanya hiyo kazi ukiwa CCM. Lakini pia Mafisadi inaonekana yamekita mizizi hadi moyoni kuna mengine inahitaji timing kama unachinja kobe. Kuna mengine yamejitengezea ulinzi wa chuma(Sheria na katiba).
Kwa mantiki hii Magufuri hana cha kufanya maana hata Jana nilisikia akisema wakubwa wamegawana gesi ndio maana ameamua kuwekeza kwenye umeme wa maji hao wakubwa kuliko serikali ya umma wa wa Tanzania ni akina nani?
 
Sijaelewa point yako uko wapi
 
Kwa mantiki hii Magufuri hana cha kufanya maana hata Jana nilisikia akisema wakubwa wamegawana gesi ndio maana ameamua kuwekeza kwenye umeme wa maji hao wakubwa kuliko serikali ya umma wa wa Tanzania ni akina nani?
anaweza kutufikisha mahala, ila sio Kaanani.
Na hapo atakapotuacha, akija mwingine ataturudisha tulikotoka mara dufu
 
Ndani ya ccm hakuna msafi ni kama Ebola kila mahali
Maana hata raisi anasema wakubwa wamegawana gasi na hawa wakubwa katika inchi hii wanaomtisha Magufuri ni vigogo anaosema wakubwa ni wana CCM tu
 
Ameifisadia nchi yangu hana aibu anajenga chato uwanja kwa kampuni yake sitaki kurudi kwenye nyumba alizohonga vimada ala mv Dar ameficha jeshini wala anavyoingiza hasara kwa kukopa benki za biasgara huyu kichas ni fisadi kuliko maraisi waliotangulia
Hata atakayekuja naye utamwagia hili povu,so pambana na hali yako mkuu.
 
sasa hivi hatuweki mawakili wa kukodi wanauza mechi
 
Head office ya WTO haiko USA iko Switzerland .........!!
 
Tatizo linalolikabiri serikali zetu, ni kutaka kumaliza mambo kijanja janja. Hakika inasikitisha inamaana kama tutalazimika kulipa kiasi chote kitaenda USA!
 
 
Wanajisumbua tu hao!
Watakufa wote hao vibabu!
Hamna kitu kitu hapo, ma lawyer wanataka posho za bure!
MCHEZOOOOOO!
Ktk ubora wako.huna ujualo la maana. Kila post ww ni uzombi tu.
 
Dah..wenye akili ...halafu raha yake wawe wanajua kiingereza kidogo ...wanajiuliza.... ''why now?''
 
Tanzania isiwe shamba la bibi walio sababishwa haya bila kujali ni akina wawajibishwe iwe fundisho kwa walioko madarakani wanaodhani inchi ni mali yao

Mbona aliyesababisha anafahamika wazi na abaendelea kuchota pesa zetu hazina kununua madiwani na wabunge? Huu ufisadi wa kununua wapinzani ni IMPEACHABLE OFFENCE kwa nchi zenye utawala bora. Sisi huku tunazidi kudidimiza nchi kwa kupandikiza siasa za kikaburu.
Kuna tofauti gani kati ya kaburu aliyekuwa anajenga shule za wazungu na waafrika hawahengewi shule na huyu kaburu wetu (serikali ya CCM) anayejenga mashule, barabara, maji, nk. pale penye mbunge na diwani wa CCM kisha anaacha kwenye wa upinzaji?
Mwl. Nyerere alisema kaburu ni kaburu tu. Kaburu siyo rangi, ni matendo.
Serikali hii inajitamba kupigania wanyonge huku inaasisi sera za Kikaburu.

Let's be serious.
 
Jamani mbona kesi tu kwetu Tanzania kila kukicha? Mbona majirani zetu Kenya, Ug au Rwanda za kwao hatuzisikii au wao hawana kabisa?
Huku utamaduni wa kujilinganisha na Kenya,Uganda na Rwanda ni wa kimaskini sana tuuache tujaribu kuwa na role model kama SA na Nigeria huenda ata vision zetu zikakaa sawa..sipendi haka kamkumbo hadi waheshimiwa bungeni hupenda kujilinganishia..hii ni aibu
 
Ni aibu kwamba wengi wanaochangia ktk mjadala huu wanashabikia Muhindi ambaye siyo raia wa TZ. Hapa ndo utaona udhaifu wa ufahamu wetu. Hawa walikuwa wala rushwa na watoa rushwa tu ktk miaka hiyo. Ndiyo maana ktk ufahamu wangu huwa sitegemei kwamba iko siku nchi za kiafrika zitanufaika kwa vitega uchumi vya wahingdi. NI ajabu kwa utaratibu wa US miaka michache baada ya kifo cha baba yao leo hii ni raia wa US!

Tujielewe badala ya zomea zomea isiyo na manufaa kwetu. Eti tunasahabikia mtu wa nje kushtaki serikali. Hata kama serikali ni mbaya saana, bado ndiyo inayotegemewa kukupa maji ya kunywa kijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…